Mtangazaji na muigizaji wa filamu, @kamshange_ ameweka wazi kupitia kipindi cha Clouds E kuwa moja ya sababu zilizomfanya abadilishe muonekano wake wa mavazi ni kuolewa.
Aidha, ameongeza kuwa sababu ya kusafiri mara kwa mara nje ya nchi ni kwa kuwa kwa sasa anatengeneza kipato kizuri.

Cc: @neypova_

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *