Wenyeji Morocco waichapa Comoro 2-0 na kuanza kufukuzia taji lao la AFCON kwa kishindo
Wenyeji Morocco walishinda Comoro 2-0 katika mechi yao ya ufunguzi ya AFCON 2025 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah katika mji mkuu Rabat Jumapili.