Serikali imewataka maafisa wa Idara ya Uhamiaji nchini kuendelea kuimarisha na kuweka mikakati imara ya kudhibiti wageni waoingia na kutoka nchini bila kufuata sheria na taratibu za nchi.

Hayo yameelezwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi katika Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA) kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Imeandaliwa na Enos Masanja

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *