Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 umefikia asilimia zaidi ya 65 huku ukitarajia kukamilika Februari 2027 kwa mujibu wa mkandarasi anayesimamia mradi huo.

Daraja hilo linatarajiwa kuinganisha Dar es Salaam, Bagamoyo na Tanga mpaka kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania wa Horohoro.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *