Serikali imewahimiza wawekezaji wa ndani kutumia uwezo wao katika kukuza biashara ya samaki wa vizimba ili kuchechemua zaidi sekta hiyo sambamba na kutajirika kutokana na upya wa sekta na uhitaji mkubwa wa samaki na mnyororo wa thamani katika ufugaji wa samaki kwa vizimba.
Mhariri @moseskwindi