Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika), Profesa Mohamed Janabi amezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu hatari ya kukumbwa na changamoto kubwa za kukabiliana na maradhi kutokana na kutegemea kwa zaidi ya asilimia 85 chanjo na dawa.
Msikilize
Mhariri @moseskwindi