Kuongezeka kwa idadi ya vifo vya kujinyonga kwa watoto walio chini ya miaka 18 nchini kumeibua hali ya wasiwasi na tahadhari miongoni mwa wanajamii hususani matukio ya hivi karibuni yaliyotokea mtawalia visiwani Zanzibar.

Kufuatia hali hiyo serikali kupitia kwa Waziri, Doroth Gwajima anayeshughulia maendeleo ya jamii na wadau mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu namna bora ya jamii kumaliza tishio hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *