Wakazi wa maeneo ya Kitongano na Paje visiwani Zanzibar wanatarajia kuondokana na adha ya usafiri katika barabara inayounganisha maeneo hayo kufuatia kukamilika kwa zaidi ya asilimia 80 ya barabara hiyo huku matengenezo madogo yaliyosalia yakitarajiwa kukamilika kabla ya ufunguzi wake unaotarajiwa kufanyika Januari 10, 2026.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *