“Vijana iwaangalie vijana kwa kicheko na tabasamu na kwa furaha kwa sababu ujana ni maji ya moto. Mkiona vijana wamekuwa wakali watafuteni wazee kidogo ili mambo yaende ni lazima washiriki moja kwa moja kuleta maendeleo ya Taifa lao. Mimi ni mwana CCM, na Vijana wa CCM, UVCCM sio kila wakati itakuwa ni kuvaa mabuti na nguo za kijani, hapana wakati mwingine wakae na vijana wengine, wanywe chai nao pamoja. Tuangaliane kwa tabasamu. Kijana wa CCM amwangalie kijana wa CHADEMA kwa tabasamu. Vivyo hivyo kwa kijana wa CHADEMA amwangalie kijana wa CCM kwa tabasamu, wote tunajenga nchi moja ya Tanzania”- @Nathan_Kimaro, Mjasiriamali
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana