Ni msimu mwingine wa sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya. Wakati ambapo kawaida huwa na shamrashamra za kila aina. Manunuzi, zawadi, kusafiri, matamasha, mikusanyiko, ni mambo ambayo hujitokeza. Veronica Natalis amezungumza na baadhi ya wakaazi wa Arusha.