Jeshi la Polisi mkoani Njombe limemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Gerold Willa ( 40) mkazi wa Madunda wilayani Ludewa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kuwavizia wanawake wakienda shambani na kuwabaka kati ya watuhumiwa 98 wanaoshikiriwa na jeshi hilo mkoani Njombe.