“Nilitokewa na kitu ambacho hakionekani nilipata maelekezo nifanye kazi ya Mungu. Nilipewa makatazo ya kutokuajiriwa. Nilifuata maelekezo, mwaka 2018 nilianza rasmi huduma. Nilivyotoka Chuo kikuu sikutafuta ajira. Nilianza huduma katika hali ya udogo. Nilianzia Mabibo, nilikuwa nalala chini kwa miezi Sita”

“Nikiwa na degree yangu nilikuwa nalala chini kwa miezi Sita. Nilikuwa napika wale dagaa mchele. Ile hali niificha kwa wazazi kwa sababu wazazi walitamani niajiriwe.

“Kila mtu anayefanya kusudi ambalo hakuumbiwa nalo hawezi kufanikiwa. Wapo watu wangapi wanapambana hapa Dar es Salaam? Wanadhani wamerogwa kumbe yupo kwenye njia ambayo sio ya kwake”- @prophet.edmoundmystic

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *