Changamoto ya bidhaa kubaki dukani imeendelea kuwa tatizo kubwa kwa wafanyabiashara wengi, hususan wale wanaouza bidhaa za msimu.
Katika mjadala wa kitaalamu uliohusu biashara na uchumi, mfanyabiashara pamoja na mchambuzi wa masuala ya uchumi, Ally Mkimo anaeleza jinsi ya kuweka mikakati muhimu inayoweza kuwasaidia wafanyabiashara kumaliza bidhaa zao kwa wakati na kuepuka kupata hasara.
✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates