#MICHEZO: Simba sasa ipo chini ya kocha mpya Steve Barker ambaye ametokea klabu ya Stellenboch ya Afrika Kusini.

Na moja ya jambo linasubiriwa kwa hamu atamtumiaje mchezaji Mourice Abraham ambaye wengine walikuwa hawajaridhika mchezaji huyo kutokuwa namba 10 wa Simba.

Wakati anasubiriwa Steve Barker atamtumiaje ?

@hoseamchopa amezungumza na kocha Dimitar Pantev kwa nini alikuwa anamtumia kama winga na sio namba 10 ambayo amekiri hakuona kama mchezaji huyo anastahili kucheza namba 10 zaidi ya pembeni kutokana na kasi yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *