Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa ina mpango wa kuagiza vifaranga vya kuku kutoka nje ya nchi.
Kauli ya serikali imetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa wakati wa mkutano wa wadau wa sekta za mifugo na uvuvi uliofanyika jijini Mwanza.
Mhariri @moseskwindi