Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umefanya uchaguzi wa kwanza wa serikali za mitaa kwa kupiga kura ya moja kwa moja kwa wananchi wote, ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa mfumo huo baada ya takribani miaka 60.

Uchaguzi huo unafanyika katika kipindi ambacho taifa hilo linaendelea kujinasua kutoka katika miongo ya migogoro na changamoto za kiusalama zinazosababishwa na kundi la wanamgambo la Al Shabab.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @rajjmsangi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *