Uchunguzi wa chanzo cha ajali ya helikopta ya kampuni ya KiliMediAir iliyoua watu watano katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro umeanza.
Ajali hiyo iliyotokea Disemba 24, 2025 imegharimu maisha ya watalii wawili, muongoza watalii mmoja, rubani na daktari.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi