Katika kuadhimisha Siku ya Kumpigia Simu Rafiki, Mwanasosholojia Rehema Awadh amesisitiza umuhimu wa mawasiliano ya moja kwa moja kama njia ya kujenga na kuimarisha mahusiano.
Anasema kuwa, licha ya urahisi wa ujumbe mfupi na mitandao ya kijamii, hatua ya kumpigia rafiki simu inabeba uzito mkubwa zaidi wa kiutu na kihisia.
Msikilize Zaidiβ¦
βIbrahim Kilumbo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates