Mjini hawaji kwa kelele,
wanakuja na suti, tabasamu na ahadi, Wanapanda tamaa, akili ikilala umeisha.

Michapo ya utapeli ni sanaa, sanaa ya kukusoma, kukuharakisha, kukupa ndoto usiyotegemea Somo lake ni mojaa punguza tamaa, chukua tahadhari.

Leo mjanja mmoja wa mjini amebambwa na Makachero tapeli maarufu mtandaoni
aliyeficha hila ndani ya “elimu”.
@pengo_makeke aitwa Sentro
Kesi yake inaanza saa 1:30 mahakama ya @CloudsTv na hakimu mkazi ni Mzee wa Jambo @ally__kashmiry, Mjini bado ni shule lakini leo somo ni akili kabla ya bahati.

#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *