Madereva wa Malori zaidi ya 100 wamekwama Mpakani mwa Tanzania na Kenya katika eneo la horohoro Mkoani Tanga huku wakiiomba serikali kuwasaidia kuharakisha mazungumzo kati ya pande mbili za nchi hizo ili waweze kupitisha mizigo ya Ammonium Nitrate waliyobeba kutoka Bandari ya Tanga kwenda Uganda kupitia nchini Kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *