Vikosi vya jeshi la China vimefanya mazoezi kulizunguka eneo la kisiwa cha Taiwan na kudai kuwa ni sehemu ya kuboresha ulinzi na usalama dhidi ya maadui wanaotaka kukitumia kisiwa hicho kama kituo cha kuidhuru China.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi