Sauti zao zimebeba heshima
thamani na hadhi ya dhahabu.
Ni sauti zinazoimba nidhamu,
zinazoeleza maadili,
na kugusa mioyo bila kelele.
Wanaitwa The Golden Voice wameitwa na Makachero na wameitika kwa Sauti ya dhahabu.
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha..!!