#nmbmapinduzicup2026 NMB MAPINDUZI CUP 2026:
Michuano ya mapinduzi Cup inaendelea leo kwa michezo miwili
Big match saa 2:15 usiku, AzamFC kukipiga na Singida BS.
Hii ni mechi ya kwanza kwa AzamFC kwenye mashindano haya wakati Singida BS walianza na ushindi mechi ya kwanza.
Mapema saa 10:15 jioni, Mlandege kucheza na wakusanya mapato wa Uganda URA FC.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii mbashara kupitia AzamSports3HD.
#NMBmapinduziCup #Azamtvsports