“Dubai kuna amani na utulivu. Ni moja kati ya sehemu salama duniani na hakuna matukio mengi ya kuonyesha kuna uhalifu mkubwa wameweka utulivu na amani.

“Na Mfanyabiashara yoyote mkubwa anakwenda kuwekeza sehemu yenye utulivu na amani. Kingine walichokifanya ni ubunifu usiokwisha.

“Dubai inaongoza kwa ubunifu. Mfano kwenye sekta ya logistics kwa sasa hivi wameanza kutoka kwenye bodaboda kufanya delivery wanatumia drones kufanya kazi ya delivery ya vyakula kwenye maeneo tofauti tofauti. Kwa sasa hivi wanatumia tax ambazo hazina dereva”-
@Hussein_Jamal2020, Mjasiriamali.

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyooshaa
#LainiYawana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *