Umoja wa Mataifa (UN) umeutangaza mwaka 2026 kuwa wa kimataifa wa mkulima mwanamke na jamii za wafugaji kutokana na mchango wao katika mifumo ya chakula cha kilimo pamoja na ufugaji.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *