Israel imeingia katika hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza siku ya Jumatano baada ya kuidhinisha mpango wa kuutwaa ambao ni pamoja na kuwaita askari 60,000 wa akiba kwa ajili ya kupanua operesheni ya kijeshi katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina.

Imechapishwa: Imehaririwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Na: RFI na mashirika mengine

Matangazo ya kibiashara

Israel ilitoa kibali cha mwisho siku ya Jumatano kwa mradi wa suluhu ambao ungegawanya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa katika sehemu mbili, ikiwezekana kuharibu matumaini ya taifa la baadaye la Palestina.

“Tumeanza hatua za awali kushambulia mji wa Gaza, na tayari sasa vikosi vya IDF vinashikilia nyadhifa zao nje kidogo ya mji wa Gaza,” msemaji wa jeshi la Israel Effie Defrin amewaambia waandishi wa habari Jumatano.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *