Depu akoleza moto, akiipa Yanga pointi tatu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Laurindo Dilson Maria Aurelio 'Depu' ameendeleza makali katika Ligi Kuu Bara, baada ya kuifungia bao moja kwenye ushindi wa wa 1-0 dhidi ya Namungo FC.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Laurindo Dilson Maria Aurelio 'Depu' ameendeleza makali katika Ligi Kuu Bara, baada ya kuifungia bao moja kwenye ushindi wa wa 1-0 dhidi ya Namungo FC.
MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Lukuba, amewafariji watoto yatima wanaoishi katika Kituo cha Dal – Ul Muslimeen Orphanage kilichopo Manispaa ya Morogoro kwa kuwapatia msaada wa…
LYON: More than 3,200 people marched through the French city of Lyon on Saturday to honor Quentin Deranque, a nationalist activist killed following a street brawl with alleged far-left militants.…
SPAIN: Spain’s Constitutional Court has rejected an appeal by a father seeking to halt his 25-year-old daughter’s access to euthanasia, effectively upholding her right to die under the country’s legislation.…
Utendaji duni wa Bandari ya Karema, unaochangiwa na kutokukamilika kwa miundombinu ya barabara, umetajwa kuwa sababu ya kusafirishwa kwa tani 15,000 pekee za mizigo tangu kuanza kwa utekelezaji wa shughuli…
#NBCPL Wananchi mbele….wengine bado…!!! 28’: Namungo FC 0-1 Yanga SC Iko LIVE #AzamSports1HD Saa 3:00 usiku ni TANZANIA PRISONS vs SIMBA SC. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #NamungoFC #YangaSC #NamungoYanga…
MABAO mawili ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Idd Seleman 'Nado', dhidi ya KMC, yametosha kuipa timu hiyo ushindi wa 2-0, katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku kikosi hicho…
MAPUMZIKO | #LaLigaEASports HT: Barcelona 2-0 Levante LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #Laliga #BarcaLevante (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Wamebinua meza…. FT: Atalanta 2-1 Napoli Inafuata Milan vs Parma LIVE #AzamSports2HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #AtalantaNapoli (Feed generated with FetchRSS)
75’ | #SerieA Atalanta 1-1 Napoli LIVE #AzamSports2HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #AtalantaNapoli (Feed generated with FetchRSS)
Nahodha wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, hatimaye amevunja ukimya kuhusu hatma yake katika Ligi...
Mwanariadha wa Tanzania Gabriel Gerald Geay leo amefanikiwa kutetea taji la mbio za Marathon za Daegu China akitumia muda wa 2:08:11. Ushindi huo unaendana na kitita cha dola laki mbili(Shilingi…
SHINYANGA: WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania itaendelea kuwa na amani na utulivu huku akiwaonya watu wanaotumika kuichafua nchi na kuzua taharuki kwa kupewa rushwa.…
Asilimia 24 ya wanafunzi waliotakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza elimu ya kidato cha kwanza...
Wakazi wa Walaya ya Hai wameendelea kunufaika na uwepo wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) hususani kupitia mfuko wa ujirani mwema. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.…
MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha utoaji vibali vya kuajiri askari wa wanyamapori takribani 551 kwa mwaka wa fedha 2025/26.…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imelaani vikali hatua ya serikali ya Uganda ya kumpokea kamanda wa waasi wa Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), ikielezea hatua…
Katika Jiji la Dar es Salaam, palipo na mzunguko wa maisha usiozimika, Viwanja vya Mnazi Mmoja...
MOROGORO: JUMLA ya vijana 42,000 wamenufaika na programu za muda mrefu na muda mfupi kwa kupatiwa elimu na mafunzo ya ufundi stadi kupitia Mradi wa Mpango wa Elimu Changamani kwa…
MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu Marathon 2026 kwa kutetea ubingwa wa mbio hizo kwa mara ya pili mfululizo zilizofanyika…
Sakata la kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Mwawaza na stendi kuu ya mabasi mkoani Shinyanga...
Timu ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Mtibwa Sugar, katika...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, ametaka uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na...
Wakati kitendawili kikiwa kigumu kutegua kuhusu waziri mkuu mashuhuri aliyembaka Virginia...
SINGIDA Black Stars imerejea kwa kishindo katika Ligi Kuu Bara baada ya leo mchana kuifyatua Mtibwa Sugari kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma na kuchupa…
DAR ES SAAAM: BENEFICIARIES of the Strategic Account Management Training are expected to have in-depth practicable skills on how to win and retain clients as Tanzanians seek a global-level business…
DAR ES SALAAM: THE urge to strengthen good governance and risk oversight are among the notable skills to be gained by the Chief Executive Officers (CEOs) lined up for the…
Wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Upatikanaji wa maji safi na salama unaendelea kuwa kipaumbele katika ajenda ya maendeleo ya...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza dhamira ya nchi yake kulinda haki halali za taifa katika nyanja ya nishati ya nyuklia kwa njia ya diplomasia.
Iran imejiunga na nchi na mashirika kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu katika kulaani vikali kauli za balozi wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, aliyedokeza kuwa Israel ina haki ya…
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linatarajia kuingiza kwenye gridi ya Taifa umeme...
Nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu...
ARUSHA: ZAHANATI yenye gharama ya zaidi ya Sh milioni 180 inajengwa ndani ya ukuta wa migodi ya madini ya Tanzanite iliyopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mirerani mkoani Arusha.…
Takribani watu 50 wameuawa na wanawake pamoja na watoto kadhaa kutekwa nyara katika shambulio la kigaidi lililolenga kijiji kimoja katika jimbo la Zamfara, kaskazini-magharibi mwa Nigeria.
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, ameonya kuwa bila kuweka mifumo madhubuti ya udhibiti kwa haraka, akili mnemba (AI) inaweza kuongeza pengo la usawa,…
Sekta ya madini nchini Sudan imepata hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni saba kufuatia kuendelea kwa vita vya vya ndani kwa takribani miezi 34. Hayo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya…
Kama kuna eneo muhimu kwa sisi wazazi kulizingatia ni kuelewa hisia za watoto kabla hatujawapa...
Katika zama hizi, ndoa nyingi haziishi tena kwa misingi ya ukweli bali kwa misingi ya maonyesho.
Andrew Mountbatten-Windsor amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 66 akiwa ndani ya seli ya polisi akiwa na “kitanda na choo tu”, ni nini kilichosababisha kuanguka kwa heshima ya mwanamfalme wa…
Jina la mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane limeibuka katika kampeni ya kuwania Urais wa...
Safari ya kumaliza mfumo wa mikondo miwili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari...
Watu watatu akiwamo mwanafunzi wa darasa la pili, wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea...
PARIS: TANZANIA will host the International Kiswahili Conference in Paris, France, from April 27 to 30, 2026, the government has confirmed. The conference, aimed at celebrating the global growth of…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu anavyoeleza zaidi. #SheriaUpdate (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: THERE are some evenings that pass like polite dinner guests. They knock gently, compliment the curtains and leave before the tea goes cold. And then there are…
Kuvunjika kwa ndoa ni tukio linalotikisa misingi ya familia na kuacha maumivu makubwa kwa...
ZANZIBAR: THE Zanzibar Government has signed a Public-Private Partnership (PPP) agreement with Infinity Developments to restore and upgrade key historical sites within Stone Town, with the investor committing approximately 12…
Tottenham Hotspur itawakosa nyota tisa tegemeo leo wakati itakapokuwa kwenye Uwanja wake wa...