Msimamo wa Halima Mdee unabaki kuwa ule ule ambao ni kuwa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema ni bora aache kabisa siasa
Msimamo wa Halima Mdee unabaki kuwa ule ule ambao ni kuwa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema ni bora aache kabisa siasa Halima bado anaamini kuwa atarejea Chadema na kuendeleza…
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Mtayarishaji wa kipindi cha #Clouds360, @marcel__kitabu
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Mtayarishaji wa kipindi cha #Clouds360, @marcel__kitabu. #CMG inakutakia mafanikio na baraka maishani mwako, endelea kusababisha #Clouds26Nyoosha
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mohamed Mtanda, ametolea ufafanuzi video clip inayotaja kutokea Mwanza inayoonyesha wananchi wameandamana na wanasikilizwa na Wanajeshi. Mtanda akizungumza na vyombo vya habari amewashukuru…
Jeshi la Polisi Tanzania, kupitia msemaji wake David Misime limesema kuwa mpaka mchana huu wa Disemba 9 hali ya usalama nchini n…
Jeshi la Polisi Tanzania, kupitia msemaji wake David Misime limesema kuwa mpaka mchana huu wa Disemba 9 hali ya usalama nchini ni shwari kwa maeneo yote. Misime amesema vyombo vya…
Bisura amerudi nyumbani na kutaka Maega awaambie watoto wao kuwa yeye ndio mama yao…Watoto wamemkataa na hawataki kabisa kumsi…
Bisura amerudi nyumbani na kutaka Maega awaambie watoto wao kuwa yeye ndio mama yao...Watoto wamemkataa na hawataki kabisa kumsikia...Kumbuka Bisura pia amelipia kikundi cha kijasusi kitafute zilipo hazina za mume…
📶 Gharama ya 1GB Duniani: Nchi Zinazoongoza Kwa Ugali na Urahisi wa Data
📶 Gharama ya 1GB Duniani: Nchi Zinazoongoza Kwa Ugali na Urahisi wa Data Ripoti ya Cable.co.uk ya mwaka 2023 imeonesha tofauti kubwa ya bei ya 1GB ya intaneti duniani. Baadhi…
Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika (#Disemba 9) ambapo Wananchi wametakiwa kubaki majumbani kwao kama hakuna sababu ya kutoka nj…
Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika (#Disemba 9) ambapo Wananchi wametakiwa kubaki majumbani kwao kama hakuna sababu ya kutoka nje ili kudumisha zaidi amani huku hali ya mitaa mingi…
Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imesh…
Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imeshuhudia Wananchi wakiendelea kujipatia mahitaji yao mbalimbali ya nyumbani. #CloudsDigitalupdates
Kadri Osman anavyotanua mbawa zake za utawala ndivyo anakutana na miamba mingine mizito
Kadri Osman anavyotanua mbawa zake za utawala ndivyo anakutana na miamba mingine mizito. Usikose leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
HALI ILIVYO KATIKA BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
HALI ILIVYO KATIKA BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM..
Lady Boss ana wakati mgumu kwa sasa
Lady Boss ana wakati mgumu kwa sasa. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha
Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha. Ndivyo ilivyo kwa ‘Single Mama’ SARAH kupitia tamthilia ya ‘THE PRICE,’ utakayoanza kuitazama kuanzia Desemba 10, 2025 kupitia #AzamTWO makao makuu ya burudani…
“Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na …
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini…
Ni siku nyingine huko Mystery Bay, Stella anarudishwa na kujikuta akiwa na maiti na watoto wake hawajulikani walipo; mji haujapo…
Ni siku nyingine huko Mystery Bay, Stella anarudishwa na kujikuta akiwa na maiti na watoto wake hawajulikani walipo; mji haujapoa. Usikose kutazama BAY OF FIRES leo saa 4:00 usiku ndani…
Hivi Camila ana hamu hata ya kujua kinachoendelea kupotea kwa mume wake?
Hivi Camila ana hamu hata ya kujua kinachoendelea kupotea kwa mume wake? Mama Juana amlalamikia mwanaye kisa kuwa na uhusiano wa karibu na Gaby. Juana inaendelea kutema burudani na leo.…
Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega…Watoto wameanza kukwaruzana…Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kweny…
Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega...Watoto wameanza kukwaruzana...Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kwenye jumba la mzee Maega. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA ‘KITANZINI’!
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA 'KITANZINI'! Hili ni jengo la Kanisa la Ufufuo na Uzima pale Kibaha. Hasi sasa utepe bado upo na Kanisa hilo halijafunguliwa ingawa Waziri Mkuu Dkt.…
Happy #IndependecyDay #2025 #Tanzania
Happy #IndependecyDay #2025 #Tanzania @officialbakhresagroup
Kaka kama Hasmet ni mtihani mkubwa 😅 Yavuz anataka kuwauwa watoto wote wa Rifat ila abaki Aziza pekee yake 🥹 Usikose kutazama 6 …
Kaka kama Hasmet ni mtihani mkubwa 😅 Yavuz anataka kuwauwa watoto wote wa Rifat ila abaki Aziza pekee yake 🥹 Usikose kutazama 6 OF US leo saa 2:00 usiku ndani…
SUDAN IMEINGIA MKATABA NA RUSSIA WA MIAKA 25 UNAO RUHUSU RUSSIA KUJENGA BASE YA KIJESHI AMBAYO ITAKUWA NA WANAJESHI 300
SUDAN IMEINGIA MKATABA NA RUSSIA WA MIAKA 25 UNAO RUHUSU RUSSIA KUJENGA BASE YA KIJESHI AMBAYO ITAKUWA NA WANAJESHI 300. HII NDIO ITAKUWA BASE YA KWANZA YA RUSSIA BARANI AFRIKA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAWASILIANO YA RAISI, IKULU Dodoma 08 Desemba, 2025 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (KWA KUTOLEWA MARA MOJA) TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino kujadili ushirikiano wa pande mbili na…
Photos from East Africa TV plus+’s post
KUTOKA MITANDAONI Taarifa kwa wanaojua kingereza watutafsirie...
Ni kwa namna gani unaweza kujifunza kuwa mvumilivu?
Ni kwa namna gani unaweza kujifunza kuwa mvumilivu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
“Katika Mafanikio Yangu Alikiba Anahusika Asilimia 60”-Amesema Niffer
"Katika Mafanikio Yangu Alikiba Anahusika Asilimia 60"-Amesema Niffer.
Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa …
Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa ni jasusi aliyekuja kumpeleleza Mzee Maega ambaye anadhani ni msaidizi wa…
😱🚗| MBAPPE HAWEZI KUENDESHA GARI !?
😱🚗| MBAPPE HAWEZI KUENDESHA GARI !? Mwanzoni mwa msimu, Kylian Mbappé alipokea BMW yake ya kifahari iliyotengenezwa maalum kupitia ushirikiano wa Real Madrid na kampuni hiyo — lakini bado HAIWEZI…
UYU MTOTO ANATARAJIWA KUWA KIONGOZI NKUBWA SANA HAPO BADAYE SREKALINI🙏
UYU MTOTO ANATARAJIWA KUWA KIONGOZI NKUBWA SANA HAPO BADAYE SREKALINI🙏 WATOTO WA SHETA❤️ Watoto wa Msanii / Mwanasiasa Nurdin Bilal wakiwa kwenye picha📸ya pamoja . Tu Follow
Mfanyabiashara Niffer amejibu mashabiki waliomkosoa wakidai kuwa amepoteza mwelekeo na kusahau kilicho cha muhimu
Mfanyabiashara Niffer amejibu mashabiki waliomkosoa wakidai kuwa amepoteza mwelekeo na kusahau kilicho cha muhimu. Kupitia mitandao ya kijamii, Niffer amesisitiza kuwa hajawahi kuwatolea kauli yoyote ya kuwakera, bali anajaribu kuendelea…
Usikose kutazama msimu mpya wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO, mambo yanazidi kuwa yamoto…Maisha yamebadilika
Usikose kutazama msimu mpya wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO, mambo yanazidi kuwa yamoto...Maisha yamebadilika. Tukutane nyumbani kwa burudani.
Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO, msako unaendelea na maisha ya kujificha ya Maryam yanazidi kuwatatiz…
Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO, msako unaendelea na maisha ya kujificha ya Maryam yanazidi kuwatatiza ndugu zake.
Safari ya kumtafuta Aslan inaendelea…Wametajwa kuwa ni wezi na wamefukuzwa eneo walilopokelewa
Safari ya kumtafuta Aslan inaendelea...Wametajwa kuwa ni wezi na wamefukuzwa eneo walilopokelewa. Mateso bado yako nao watoto sita wa marehemu Rifat na Bala. Usikose kutazama 6 OF US kuanzia saa…
Disemba to remember, mwezi ambao hubeba mambo mengi sana, KACHERO wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz anatusanua mengine ya usi…
Disemba to remember, mwezi ambao hubeba mambo mengi sana, KACHERO wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz anatusanua mengine ya usiku kwenye Shubiri ya usafiri wa Mikoani imekuwaje Mwezi huu… Ni kuanzia…
Watu wameanza kuchimba ukweli wote kuhusu Lady Boss
Watu wameanza kuchimba ukweli wote kuhusu Lady Boss. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Usikose JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, tunaendelea tulipoishia…Si unajua tena bado Gaby hajui mama mtoto wake ni …
Usikose JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, tunaendelea tulipoishia...Si unajua tena bado Gaby hajui mama mtoto wake ni nani japo anaendelea kumsaka wakati kila siku yuko naye. 🫢
Kipindi maalum cha kuitambulisha tamthilia ya #PichaYangu inayoanza leo saa 1:30 usiku kupitia #SinemaZetuHD
Kipindi maalum cha kuitambulisha tamthilia ya #PichaYangu inayoanza leo saa 1:30 usiku kupitia #SinemaZetuHD Watangazaji @anamalinzi na @abuuyusuftz waliwakutanisha jukwaa moja waandaaji wa tamthilia za #PichaYanguSeries, @stickmotela, #NomaSeries @adamoo14 pamoja…
Changamoto ya usafiri wa wagonjwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, hatimaye inakwenda kufikia…
Changamoto ya usafiri wa wagonjwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, hatimaye inakwenda kufikia tamati baada ya Serikali kuleta gari jipya la kubeba wagonjwa kwa ajili…
towa maoni yake kuhusu chuki zinazo endelea kwa wasanii wakubwa
towa maoni yake kuhusu chuki zinazo endelea kwa wasanii wakubwa Ameandika yafwatayo "Daaah wasanii tunachukiwaa na baadhi ya watu wengiisana ambao tunaishi nao kila siku na sijui kwanini tuna pigwa…
“Jiji la Dar es Salaam linategemea upatikanaji wa maji na kuhudumiwa na Mamlaka ya Maji ya DAWASA
"Jiji la Dar es Salaam linategemea upatikanaji wa maji na kuhudumiwa na Mamlaka ya Maji ya DAWASA. Na Ina vyanzo vyake vikuu vya maji inavyovitegemea ambavyo ni Ruvu Juu/Chini na…
“Diaspora wengi tuliokuwepo huku Uingereza tunapenda kuonyesha mchango ambao Tanzania unaifanya”
"Diaspora wengi tuliokuwepo huku Uingereza tunapenda kuonyesha mchango ambao Tanzania unaifanya" @prukimiti_mbe, Pudencia Kimiti, Mshindi wa Tuzo ya Malkia UK #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
@prukimiti_mbe, Pudencia Kimiti, Mshindi wa Tuzo ya Malkia UK akitoa wito kwa Watanzania kulinda amani
@prukimiti_mbe, Pudencia Kimiti, Mshindi wa Tuzo ya Malkia UK akitoa wito kwa Watanzania kulinda amani. #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
DESEMBA YA SHEREHE SINEMA ZETU
DESEMBA YA SHEREHE SINEMA ZETU Orodha tamu ya burudani ndani ya chaneli namba 106 #SinemaZetuHD mwezi huu wa rangi nyekundu, nyeupe na kijani...Usikose uhondo wote kupitia #SinemaZetuHD