Milipuko katika majengo ya makazi nchini Iran, shambulio lakanushwa
Chombo cha habari cha Iran kimesema mtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko kuliotokea kwenye jengo la makazi kusini mwa nchi hiyo.
Chombo cha habari cha Iran kimesema mtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko kuliotokea kwenye jengo la makazi kusini mwa nchi hiyo.
Mamlaka katika Ukanda wa Gaza zimesema watu zaidi ya 500 wamefariki katika mashambulizi ya Israel tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipoanza kutekelezwa mwezi Oktoba mwaka jana.
Mazungumzo ya amani ya pande tatu yanayohusisha Ukraine, Urusi na Marekani yanatarajiwa kuanza tena Februari Mosi yakizingatia suala la eneo.
Maafisa wa utalii nchini Japani na Korea Kusini wametoa data zinazoonyesha kwamba idadi ya wasafiri kati ya nchi hizo mbili ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka 2025.
Waziri Mkuu wa Japani, Takaichi Sanae, na mwenzake wa Uingereza, Keir Starmer, wamekubaliana kushirikiana kwa karibu na nchi zenye mtazamo unaofanana ili kuimarisha minyororo ya usambazaji wa madini muhimu.
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vinasema kamati kuu ya Chama tawala cha Wafanyakazi imewachagua wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa chama hicho katika kipindi cha miaka mitano.
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Utamaduni wa Kisasa & Mtindo
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Maandalizi dhidi ya janga
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Matukio ya Hivi Karibuni
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa “Uzi wa Buibui" iliyoandikwa na Akutagawa Ryunosuke. Hadithi hii…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa “Knock” iliyoandikwa na Arai Motoko. Hii ni simulizi fupi…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani na mambo mengine ya kufurahisha. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa "Uvumi Kuhusu Bwana Aoyama"…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea Riwaya iitwayo "Tanaka-san Hataki Kwenda Ofisini" iliyoandikwa na Akeno Kaeruko Mitindo…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya kuhusu simulizi ya "Nipo kwa ajili yako" iliyoandikwa na Totoki…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea kipindi cha Tupike Kijapani ambapo tutapika pamoja chakula cha "chan chan…
Tam alikwenda kwenye onyesho la piano la Yuuki, mwanamume anayempenda na hatimaye aliweza kuonana naye tena. Baada ya kurudi nyumbani katika "Nyumba ya Haru-san," anawasimulia mwenyenyumba wake roboti na mpangaji…
Matokeo kutoka kwa tume ya uchaguzi ya Myanmar yanaonyesha kuwa chama kinachoungwa mkono na jeshi kilipata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu, na kupata wingi wa viti katika mabaraza yote mawili…
Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini Ahn Gyu-back ameishukuru Japani kwa kusaidia ndege ya kijeshi ya Korea Kusini iliyokumbwa na matatizo. Ndege ya usafiri ya C-130 ililazimika kutua kwa dharura…
Jopo la wataalamu wa serikali ya Japani linatoa wito wa idadi ya maeneo yenye hatua dhidi ya utalii wa kupita kiasi kuongezeka maradufu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi anasema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia. Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akiongeza shinikizo…
Rais wa Marekani Donald Trump anasema atamteua Kevin Warsh kuwa mwenyekiti anayefuata wa Benki Kuu ya Marekani. Warsh ni gavana wa zamani wa benki hiyo. Trump amekuwa akishinikiza Benki Kuu…
Idadi ya wageni walioajiriwa nchini Japani ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka jana, ikizidi milioni 2.5 kwa mara ya kwanza na kuangazia uhaba wa wafanyakazi nchini humo.
Mawaziri wa ulinzi wa Japani na Korea Kusini wamekubaliana kuendelea na ushirikiano na ziara za pamoja kwa mazungumzo ya kila mwaka.
NHK WORLD is the international service of NHK, Japan's largest broadcasting organization.