Maelfu wamzika mtoto wa Gaddafi aliyeuawa kwa risasi
Maelfu ya watu wamejitokeza Ijumaa kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa mtawala wa zamani wa Liibya, Muammar Gaddafi, katika mji ambao bado unaendelea kuonyesha utii kwa kiongozi huyo wa…
Maelfu ya watu wamejitokeza Ijumaa kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa mtawala wa zamani wa Liibya, Muammar Gaddafi, katika mji ambao bado unaendelea kuonyesha utii kwa kiongozi huyo wa…
Mkuu wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia haki za binadamu Volker Turk amefahamisha kuwa shughuli za shirika hilo zimekwama kutokana na ukosefu wa fedha kutokana na wafadhili kuacha kutoa ufadhili…
Iran imesema mazungumzo ya nyuklia na Marekani Oman ni mwanzo mzuri huku hofu ya vita ikitanda Mashariki ya Kati. Tehran yakataa kujadili mpango wa makombora, yakisisitiza kuondolewa kwa vikwazo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametaja mazingira ya mazungumzo na Marekani kuwa mazuri huku pande hizo mbili zikikubaliana kuendelea na mazungumzo zaidi.
Watu 31 wameuawa na wengine zaidi ya 170 kujeruhiwa leo wakati mlipuaji wa kujitoa mhanga kufa alipolipua bomu katika msikiti wa Washia wa Khadija Tul Kubra Imambargah viungani mwa Islamabad…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema leo kuwa Umoja wa Ulaya daima uko tayari kufanya mazungumzo na Urusi katika juhudi za kumaliza vita nchini Ukraine, lakini "hautafungua njia zozote sambamba…
Karibu watu 31 wamefariki na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga kwenye msikiti wa madhehebu ya Shia uliopo kwenye mji mkuu wa Pakistan, Islamabad wakati wa…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekubali kuwapokea wahamiaji walioingia Uingereza bila vibali stahiki baada ya waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo Shabana Mahmood kutishia kuzuia utoaji wa visa…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema Ijumaa kuwa Umoja wa Ulaya uko tayari kufanya mazungumzo na Urusi katika juhudi za kuvimaliza vita nchini Ukraine.
Mchezo wa fainali wa Ligi ya Mpira wa Miguu Marekani (NFL) wa Super Bowl mwaka huu, unazikutanisha Seattle Seahawks na New England Patriots.
Michuano ya Olimpiki ya majira ya baridi 2026, imefunguliwa rasmi Februari 6-22 katika miji miwili ya Italia ya Milan-Cortina. Programu ya michezo hiyo iliyopewa jina la Milan-Cortina tayari imeanza siku…
Gnabry mwenye umri wa miaka 30, alijiunga na miamba hao wa Bavaria tangu mwaka 2017 baada ya kupita katika vikosi kadhaa ikiwemo Arsenal, West Brom na Werder Bremen.
Katika kambi ya Thobo, watoto na wanawake waliokimbia vita na njaa wameishi mwaka mzima bila msaada, wakiwa wamenaswa na kufungiwa nje ya dunia. Lakini licha ya njaa, vita na kukata…
Je, wewe ni dereva, mfanyakazi wa ofisini au mtu ambaye kazi yake inakufanya ukae muda mrefu bila kusimama Kama ndivyo, fahamu kuwa kukaa muda mrefu bila kusimama ni kitisho kikubwa…
Iran na Marekani zimeanza leo mazungumzo nchini Oman, huku Washington ikikataa kuondoa kitisho cha hatua za kijeshi dhidi ya jamhuri hiyo ya Kiislamu .
Naibu mkuu wa idara ya ujasusi wa kijeshi wa Urusi luteni jenerali Vladimir Alekseyev amepigwa risasi na kujeruhiwa mjini Moscow .
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameirai nchi yake kujiandaa kujitegemea huku miito ikiongezeka nchini Marekani ya kuiwekea vikwazo zaidi kwa kushiriki kwake katika mzozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito wa kuwepo makubaliano mapya ya nyuklia baada ya Mkataba wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani kumalizika jana…
Shirika la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema makundi yenye silaha jimbni Jonglei, Sudan Kusini yamechoma na kuzipora ofisi za shirika la misaada la Uingereza na kuharibu…
Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Iran na Marekani yameanza Ijumaa nchini Oman, katika juhudi za kupunguza mvutano unaohusiana na mpango wa nyuklia wa Tehran na kuzuia kuzuka kwa…
Vita vinavyoendelea nchini Sudan vimeendelea kusababisha hali ngumu ya maisha, huku njaa ikizidi kuenea katika maeneo yanayokumbwa na mapigano, hususan katika eneo la Darfur magharibi mwa nchi hiyo.
Rais wa Rwanda Paul Kagame Alhamis alitoa mwito kwa nchi yake kujitegemea zaidi.
Marekani na Iran zinakutana Ijumaa mjini Muscat nchini Oman kwa mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. Ajenda kamili ya mkutano huo haijabainika bado, lakini Iran inataka vikwazo vijadiliwe.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameahidi kushirikiana kwa karibu na nchi za Ghuba katika masuala ya ulinzi. Merz anaendelea na ziara yake ya kwanza katika eneo la Ghuba.
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameihimiza nchi yake kujitegemea zaidi. Wito wake unakuja huku miito ikiongeza ya kuwekewa vikwazo na Marekani kuhusiana na kujihusisha na vita vya Kongo.
Wtaalamu wametahadharisha juu ya kuenea kwa njaa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, huku mapigano kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji yakiwalazimu maalfu kuyakimbia makazi yao.
Ukraine na Urusi zimekamilisha duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi yanayolenga kufikisha mwisho vita kati ya nchi hizo mbili. Duru mpya ya mazungumzo inatarajiwa kufanyika…
Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika huko Abu Dhabi. Wajumbe wa Marekani na Iran wajiandaa kuzungumza kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran mjini Muscat, Oman. Na Rais wa Rwanda Paul…
Tuanzie huko Abu Dhabi ambako hii leo wajumbe wa Ukraine na Urusi na Marekani wanaendelea na mazungumzo ya kuelekea amani ya Ukraine+++Baada ya takriban miaka mitatu ya vita, Khartoum inahamasisha…
Rais Paul Kagame amewarai wananchi wake kujiandaa kujitegemea zaidi kufuatia shinikizo linaloongezeka la vikwazo zaidi vya Marekani kutokana na kuhusika kwake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anataka mahusiano ya nchi yake na Saudi Arabia kuwa katika kiwango kipya, baada ya kufanya ziara ya masaa mawili na nusu mjini Riyadh na kuzungumza…
Kupanda kwa kasi kwa bei ya dhahabu duniani kumezifanya nchi nyingi barani Afrika, zinazochimba madini hayo, kujaribu kunufaika na fursa hiyo.
Seif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi atazikwa kesho Ijumaa katika mji mmoja kusini mwa Tripoli ambao bado ni mtiifu kwa familia ya Gaddafi.
Jeshi la Marekani limesema kuwa Washington na Moscow zimekubaliana kuanzisha tena mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya majeshi yao.
Ukosefu wa chakula unaenea katika maeneo mawili zaidi ya jimbo la Darfur Kaskazini huko Sudan.
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine, yanayosimamiwa na Marekani, yameendelea kwa siku ya pili leo katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Abu Dhabi.
Ukraine na Urusi zimebadilishana zaidi ya wafungwa 300 leo kufuatia mazungumzo huko Abu Dhabi.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz Alhamis amepuuzilia mbali ukosoaji mkali kutoka kwa waziri wa mambo ya kigeni wa Iran, akisema hilo linaonesha wasiwasi ilionao Tehran.
Mkataba wa mwisho uliosalia wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani umemalizika rasmi leo Alhamisi, hatua inayofuta mipaka yote ya idadi ya silaha za nyuklia kwa mataifa…
Kampuni ya teknolojia ya Proton inasema kuzimwa kwa intaneti kunazidi kuwa silaha ya kisiasa, baadhi ya serikali zikitumia fursa hiyo kuimarisha mifumo ya udhibiti, uchujaji wa taarifa na kupambana na…
Kuchelewa kwa mabadiliko nchini Iran licha ya maandamano makubwa ya umma dhidi ya utawala wa Jamhuri ya Kiislamu kumeanza kuwakatisha tamaa wananchi, akiwamo mbunifu wa mitindo mwenye umri wa miaka…
Wakazi wa mji wa Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamelazimika kuyahama makaazi yao kutokana na hofu kwamba waasi wa M23 watashambulia tena baada ya kuulenga kwa mashambulizi ya droni…
Jeshi la Pakistan limesema Alhamis limekamilisha operesheni ya wiki nzima dhidi ya waasi wanaotaka kujitenga huko Balochistan.
Iran na Marekani watafanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hapo Ijumaa nchini Oman.
Iran na Marekani zimekubaliana kufanya mazungumzo ya nyuklia nchini Oman, huku mvutano kati yao ukizidi kutanuka kufuatia madai kuwa Iran iliwakamata na kuwaua waandamanaji waliokuwa wakiipinga serikali mwezi uliopita.
Rais wa China Xi Jinping jana amefanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Marekani Donald Trump.
Ukraine na Urusi Alhamis zimeanza siku ya pili ya mazungumzo chini ya upatanishi wa Marekani huko Abu Dhabi.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, Alhamis alikaribishwa na Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman katika kasri la Al Yamamah huko Riyadh.
Rais wa China Xi Jinping amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani Donald Trump pamoja na Vladimir Putin wa Urusi katika nyakati tofauti Jumatano. Wamejadili masuala kadhaa likiwemo kuimarisha…
Ripoti mpya iliotolewa na kampuni ya utafiti ya Gallup inaonyesha kuwa Vijana wa Kimarekani hawaviungi mkono vyama vikuu viwili vya siasa vya Democratic na Republican.