Droni za Ukraine zaharibu matenki ya mafuta Krasnodar, Urusi
Mashambulizi ya usiku ya droni za Ukraine yamesababisha matenki ya kuhifadhia bidhaa za mafuta kushika moto katika mji wa bandari wa Temryuk, kusini mwa Urusi.
Mashambulizi ya usiku ya droni za Ukraine yamesababisha matenki ya kuhifadhia bidhaa za mafuta kushika moto katika mji wa bandari wa Temryuk, kusini mwa Urusi.
Kiongozi wa Kamati ya Sera za Kigeni ya Bunge la Ujerumani, Armin Laschet, amesema Ulaya inapaswa kuzindua mpango wa pamoja wa Ujerumani na Ufaransa wa kuratibu juhudi za kusitisha mapigano…
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, unaendesha zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa Alhamisi ukiwa wa kwanza wa upigaji kura ya moja kwa moja kwa wananchi wote katika muda wa…
Rais wa Ukraine amesema yuko tayari kuondoa wanajeshi wake katika mji wa Donbas ambao ni kitovu cha viwanda kama sehemu ya mpango wa kumaliza vita vyake na Urusi lakini kwa…
Katika misa hiyo, Papa huyo mzaliwa wa Marekani ameombea kupatikana kwa amani katika mizozo yote inayoendelea duniani ikiwemo vita vya Urusi nchini Ukraine na pia ameelezea kuhusu hali huko mashariki…
Mfanyakazi huyo ameonya kwamba maelfu ya watu wanakabiliwa na hali mbaya na ya kutisha baada ya kukimbilia Burundi kufuatia hatua za hivi punde ya kundi la waasi wa M23 katika…
Ripoti hiyo inaongeza kuwa licha ya juhudi zinazoendelea za vikosi vya Somalia na kimataifa katika kuzuia operesheni za kundi hilo lenye uhusiano na al-Qaida, bado uwezo wa kundi hilo haujapungua.
Katika mchezo wa awali kabisa hapo jana Jumatano Algeria waliitandika Sudan 3-0 huku mabingwa watetezi wa michuano hiyo Ivory Coast wakiwazaba Msumbiji 1-0.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameshutumu Hamas kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza baada ya afisa wa jeshi kujeruhiwa na kifaa cha mlipuko huko Rafah, na Israel ikaapa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa "watu wenye nia njema” kusitisha mapigano kwa saa 24 katika maeneo yote ya vita duniani wakati wa sherehe za…
Urusi imesema itawasilisha hivi karibuni majibu yake kwa rasimu mpya ya mpango wa amani wa Ukraine kwa Marekani, kufuatia mazungumzo ya hivi karibuni kati ya wajumbe wa pande hizo mbili…
Tume ya Ulaya imetishia kuchukua hatua za kujibu baada ya Marekani kuwawekea vikwazo raia watano wa Ulaya kwa madai ya kuhusika na udhibiti wa majukwaa ya mtandaoni ya Marekani.
Burkina Faso imeicharaza Guinea ya Ikweta mabao 2-1 katika mechi ya kusisimua ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier katika hotuba yake ya Krismasi mnamo Desemba 24 ameangazia umuhimu wa jamii, mawasiliano na ushirikiano na amewataka Wajerumani washirikiane na kusaidiana katika nyakati ngumu.
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, amehimiza mshikamano na Waukraine wanaoendelea kuvumilia mashambulizi ya Urusi, katika hotuba yake rasmi ya Krismasi.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV atasherehekea Misa yake ya kwanza ya Krismasi katika Basilika ya Mtakatifu Petro usiku wa Krismasi.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema anatarajia kupata jibu la Moscow kuhusu toleo jipya la rasimu ya pendekezo la kumaliza vita lililokubaliwa kati ya Washington na Kyiv.
Marekani imeendelea na orodha ya marufuku ya kuingia nchini humo na kuwaongeza watu watano kutokana na madai ya kuhusika katika udhibiti wa majukwaa ya mtandaoni ya Marekani.
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Sudan, James Kwesi Appiah, analenga kutumia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuwa chanzo cha furaha kwa WaSudan.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametoa mwito wa kusitishwa mapigano kwenye mizozo yote duniani wakati wa sikukuu ya Krismasi kesho Alhamisi.
Mkuu wa Majeshi ya Libya na maafisa wengine wanne wa kijeshi wamekufa usiku wa kuamkia leo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka muda mfupi iliporuka kutoka mji mkuu wa Uturuki,…
Marekani na Iran zimeshambuliana kwa maneno wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika usiku wa kuamkia leo hasa kuhusu masharti ya kuyafufua tena mazungumzo ya…
Utawala mpya wa kijeshi nchini Guinea-Bissau umetangaza kuwa umewaachia huru wanachama 6 wa chama kikuu cha upinzani waliowakamata na kuwazuia korokoroni tangu yalipotokea mapinduzi ya kijeshi mwezi uliopita.
Tanzania na Uganda zimeanza vibaya michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika- AFCON 2025 kwa kukubali kichapo kwenye mechi zao za ufunguzi zilizichezwa jana.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameilaumu Hamas kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa “watu wenye nia njema”…
Serikali ya Israel inakabiliwa na shinikizo kubwa la ndani huku Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akikataa tume huru ya kuchunguza mashambulizi ya Oktoba 7, na baraza la mawaziri likiidhinisha kufungwa kwa…
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul anaamini kwamba Urusi inaweza kuutumia uwezekano wa usitishaji mapigano Ukraine ili kujiandaa kuishambulia nchi mwanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO.
DRC ndiyo mzalishaji mkubwa wa kobalti duniani ambayo ni madini muhimu kwa betri zinazotumika kwenye magari ya umeme na kwenye simu. Madini hayo yanazilishwa zaidi katika eneo la Katanga.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kwamba Israeli itaendelea kubaki katika Ukanda wa Gaza na kuahidi kwamba wanapanga kukita kambi zaidi kwa kuanzisha vituo vya ulinzi kaskazini mwa…
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesema anaamini kwamba Urusi inaweza kuutumia uwezekano wa kusitisha mapigano nchini Ukraine ili kujiandaa kwa mashambulizi dhidi ya Jumuiya ya Kujihami…
Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya karibu wiki mbili za mazungumzo kati ya maafisa wa Yemen kutoka pande zote mbili huko Muscat, Oman, ambayo ndiyo mpatanishi muhimu katika mzozo huo uliodumu…
Utawala wa Rais Donald Trump unaendelea kubadilisha kwa kiwango kikubwa diplomasia ya Marekani, ukiondoa mabalozi walioteuliwa awali na kutegemea zaidi watu wa karibu wa rais katika juhudi za amani na…
Wakati usitishaji tete wa vmapigano ukileta pumziko Gaza, jumuiya ndogo ya Wakristo wa Palestina inajaribu kuhuisha roho ya Krismasi katikati ya maumivu ya vita, uharibifu mkubwa na hofu ya mustakabali…
Mahakama ya Kenya imetoa zawadi ya mapema ya Krismasi kwa kuachilia wafungwa 86 kutoka Gereza la Kodiaga. Hatua hii inaakisi misingi ya kisheria, utu wa kibinadamu na juhudi za kupunguza…
Ni msimu mwingine wa sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya. Wakati ambapo kawaida huwa na shamrashamra za kila aina. Manunuzi, zawadi, kusafiri, matamasha, mikusanyiko, ni mambo ambayo hujitokeza. Veronica Natalis…
Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inapungua kwa kiasi kikubwa. Matokeo yake ni makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Nini hatima ya nyumba hizi za ibada
Mechi ya mapema kabisa ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo dhidi ya Benin majira ya saba na nusu kwa majira ya Morocco. Baadaye jioni,Tanzania itamenyana na Nigeria kwa mchezo unaotazamiwa…
Thailand na Cambodia zimekuwa zikishambuliana kwenye mpaka wao wa nchi kavu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoanzishwa kwa mara ya kwanza na Malaysia na Rais wa Marekani Donald Trump…
Krismasi ni sikukuu ya Kikristo ikiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo, lakini leo imekua zaidi ya dini. Makala hii inaeleza asili yake, mabadiliko ya kihistoria, mila za Kikristo na ilivyogeuka kuwa…
Akizungumza na televisheni ya Marekani ya Fox News, Noem amesema utawala wa Trump sio tu kwamba umezikamata meli hizo, lakini pia unatuma ujumbe kote ulimwenguni na kwa hivyo anapaswa kuondoka.
Mashambulizi hayo ya Urusi nchini Ukraine yameifanya nchi jirani, Poland, ambayo ni mwanachama wa NATO kukimbilia kuilinda anga yake.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anatarajia Urusi itafanya mashambulizi makubwa nchini mwake wakati wa siku kuu ya Krismasi. Ameyasema hayo wakati Moscow ikivurumisha makombora yake hii leo katika miundomiundu.
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amelitolea mwito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusimama “upande sahihi wa historia” kwa kuunga mkono mpango wake wa kusitisha vita vinavyoendelea nchini…
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema anategemea Urusi itafanya mashambulizi makali ndani ya Ukraine wakati wa sherehe za sikukuu ya Krismasi, akiituhumu Moscow kwa kuonesha tabia hiyo ndani ya miaka minne ya…
Viongozi wa Denmark na wale wa kisiwa cha nchi hiyo kinachojitawala chenyewe cha Greenland wamesisitiza kuwa Marekani kamwe haitoichukua Greenland na kuitaka Washington kuheshimu hadhi ya mipaka inayotambuliwa kimataifa.
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amelitolea mwito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono mpango wa amani kwa taifa lake lililoharibiwa kwa vita.
Rais Donald Trump wa Marekani amesema meli za mafuta ambazo aliamuru zikamatwe nje kidogo mwa pwani ya Venezuela zitabakia kuwa mali ya Marekani.
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne.
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amependekeza mpango mpana wa amani unaolenga kumaliza vita vya takribani siku 1,000 nchini mwake+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anatarajia Urusi itafanya mashambulizi makubwa…
Wakati mapigano yakiendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakazi wa mji wa Goma wanatafuta njia mbadala za kuonyesha matumaini na mshikamano.