Zijue athari za ongezeko la vina vya maji Kenya
Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuacha athari mbaya kwa jamii zinazolizunguka Ziwa Naivasha, katikati ya Bonde la Ufa nchini Kenya. Maelfu wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ongezeko la kina cha…