UN yahimiza msaada kwa wakimbizi wa DRC nchini Burundi
Umoja wa Mataifa umeomba dola milioni 33 kusaidia maelfu ya wakimbizi waliokimbia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenda Burundi, kufuatia mashambulizi mapya ya waasi wa M23 karibu na…