Starmer kuwa mwenyeji wa Zelensky na viongozi wa Ulaya
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, atakutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky pamoja na viongozi wa Ufaransa na Ujerumani mjini London Jumatatu, wakati mazungumzo kuhusu kumaliza vita vya Ukraine…