Marekani kutofungua mashitaka kashfa ya Nyaraka za Epstein
Licha ya ugunduzi mkubwa ulioibuliwa kwenye kile kiitwacho Nyaraka za Epstein, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Todd Blanche, ameondosha uwezekano wa kufunguwa mashitaka ya uhalifu kwa wale waliotajwa.