Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.