Mabilionea wajenga makazi ya siri ya kifahari ardhini kukwepa vita na mabadiliko ya tabianchi
Chanzo cha picha, SAFE Dakika 12 zilizopita Mabilionea ulimwenguni wanakumbatia dhana mpya katika ujenzi wa makazi yaliyoundwa mahususi ili kuwalinda mabilionea hawa dhidi ya hatari inayowezekana inayosababishwa na vita, athari…