Watoto wanne wameuawa kwa kuchomwa kisu shuleni nchini Uganda
Nchini Uganda, watoto wanne wamechomwa kisu hadi kufa katika shule moja ya chekechea katika mtaa wa Ggaba nje kidogo ya jijiji kuu Kampala. Imechapishwa: 03/04/2026 – 05:31 Dakika 2 Wakati…