Meli zipi zinaruhusiwa kupita Mlango Bahari wa Hormuz licha ya hofu ya mashambulizi?
Tangu mgogoro ulipoanza, BBC Verify imethibitisha kuwa meli 20 za kibiashara zimeshambulizwa kando ya pwani ya Iran.
Tangu mgogoro ulipoanza, BBC Verify imethibitisha kuwa meli 20 za kibiashara zimeshambulizwa kando ya pwani ya Iran.
Lakini kadri siku zinavyopita, vita hivi vinaonekana kuwa vigumu zaidi kuliko Donald Trump alivyotarajia.
Nchi nyingi duniani zimeadhimisha Eid al-Fitr leo Ijumaa, Machi 20, 2026, baada ya kuthibitisha kuonekana kwa mwezi wa Shawwal.
Kiongozi wa upinzani wa Uganda Bobi Wine ameonekana tena Washington, D.C., Jumatano, Machi 18, baada ya wiki ya kutokuwa na uhakika kuhusu mahali alipo, huku kukiwa na shinikizo kubwa kutoka…
Nchini Marekani, maseneta watatu wa Republican wamewasilisha muswada unaotaka kuitangaza Polisario Front kama shirika la kigaidi. Hatua hii imeibua hisia hata kutoka Algeria, mfuasi wa harakati inayopigania kujitawala kwa Sahara…
Baada ya kupokelewa kwa fahari kubwa na Mfalme Charles III katika Kasri la Windsor, Bola Tinubu ameendelea na ziara yake ya kiserikali nchini Uingereza siku ya Alhamisi, Machi 19. Wakati…
Wakati wa mkutano wa pande tatu uliofanyika siku ya Alhamisi, Machi 19, huko Cotonou, wakuu wa vikosi vya kijeshi vya Ufaransa, Côte d’Ivoire, na Benin wamekubaliana kuendelea na ushirikiano wao,…
Israeli imeahidi kujizuia kutekeleza mashambulio dhidi ya miundombinu kuu ya gesi nchini Iran. Imechapishwa: 20/03/2026 – 08:54 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Hatua ya Israel…
Waislamu duniani wanaadhimisha Eid-ul-Fitr leo Ijumaa baada ya kuonekana kwa mwezi mpevu siku ya Alhamisi jioni, kuashiria kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. lakini baadhi ya nchi zitaadhimisha sikukuu hiyo…
Zaidi ya watu 3,186 wameuawa nchini Iran tangu kuzuka kwa mapigano Februari 28 kulingana na Shirika la kutetea haki za binadamu (Hrana) lenye makao yake nchini Marekani. Imechapishwa: 20/03/2026 –…
Watu wasiopungua wanane wamekufa na wengine kumi na saba wameokolewa wakati wa ajali ya Boti iliyokuwa ikisafirisha abiria na mizigo kadhaa ilipozama katika Ziwa Albert, baada ya kukabiliwa na upepo…
Katika mkutano wake na wanahabari, Netanyahu alikanusha madai kuhusu uhusiano kati ya Marekani na Israel, ambao anajua unamsababishia Trump matatizo mengi.
Brigedia Jenerali Reza Talaeinik, msemaji wa Wizara ya Ulinzi, pia alisema kwamba Iran inaweza kudumisha "ulinzi wa kushambulia" mara nyingi zaidi kuliko adui anavyotarajia.
Korea Kaskazini ililaani mashambulizi haraka, ikiyaita "kitendo kisichokubalika cha uchokozi."
Bruno Guimaraes apiganiwa na baadhi ya timu zenye majina makubwa, Manchester United wako tayari kukataa mkopo wa msimu mwingine kwa Marcus Rashford, na nahodha wa Tottenham Cristian Romero apuuza mazungumzo…
Larijani kwa muda mrefu ameonekana kama mmoja wa watunga sera wenye uzoefu mkubwa na ushawishi mkubwa zaidi katika Jamhuri ya Kiislamu.
Iran, ambayo mafuta yake yamewekewa vikwazo na Marekani, imekuwa muuzaji mkubwa wa mafuta ghafi ya bei nafuu kwa China, na ripoti zinaashiria kwamba Beijing inununua zaidi ya 80% ya mauzo…
Ni siku ya furaha, shukrani na mshikamano kwa Waislamu duniani kote baada ya mwezi mzima wa ibada, kujinyima na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu.
Shambulio hilo, lililotekelezwa jioni ya Jumatano, Machi 18, huko Tiné, mji ulioko mashariki mwa Chad kwenye mpaka na Sudan, linahusishwa na ndege isiyo na rubani ya Vikosi vya Msaada wa…
Miongoni mwa malengo ya mashambulii ya Israel na Marekani nchini Iran Jumatano, Machi 18, yalikuwa vituo vya nishati katika mji wa kusini wa Kangan. Shambulio hilo lilisababisha moto, kulingana na…
Ni eneo kubwa zaidi la gesi duniani, linaloshirikiwa kati ya Iran na Qatar. Asilimia themanini ya gesi ya Iran huzalishwa hapo, na kufanya shambulio kuwa mstari mwekundu kwa Tehran. Nchini…
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa 35% siku ya Alhamisi kufuatia mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati katika Mashariki ya Kati, na hasa shambulio la Iran linalolenga kituo kikubwa…
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa “kuharibu kwa kiasi kikubwa” viwanda vya gesi gesi vya South Pars ikiwa Iran itaendelea na mashambulizi yake dhidi ya Qatar. Imechapishwa: 19/03/2026 – 08:45…
Cotonou inaandaa leo Alhamisi, Machi 19, 2026, mkutano wa ngazi ya juu wa kijeshi wa pande tatu. Mkuu wa jeshi la Benin, Fructueux Gbaguidi, anawapokea wenzake kutoka Côte d’Ivoire, na…
Vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran vinaweza kuonekana kama mojawapo ya migogoro mikubwa ya kwanza duniani ambapo sheria ambazo zimetawala mahusiano ya kimataifa kwa miongo kadhaa zinaanza…
Shirikisho la soka la Senegal limesema uamuzi huo ni "aibu kwa Afrika", likisisitiza kuwa halikubaliani na hatua ya kubatilishwa kwa matokeo ya fainali hiyo iliyochezwa Januari 18 mjini Rabat.
Msichana huyo alikuwa amejawa na wasiwasi kuhusu tukio hilo kwa hivyo hakuripoti kwa wazazi wake.
Wakimbizi wa ndani kutoka majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini waliokimbilia mjini Lubumbashi, kwa sababu ya utovu wa usalama Mashariki mwa DRC, wanalalamikia hali ngumu ya maisha ambapo wanakosa misaada…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Makamu Rais wa pili wa Bunge la Seneti Bahati Lukwebo, ametangaza kujiuzulu kwenye nafasi yake baada ya kuanzishwa kwa mchakato wakutaka kumuondoa kwenye nafasi…
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa chapisho refu katika mtandao wake wa Truth Social kuhusu shambulio la Israel kwenye viwanda vya gesi vya Pars Kusini mwa Iran siku ya Jumatano
Vita vya Mashariki ya Kati vimeendelea, huku Iran ikirusha makombora kulenga vituo vya nishati ya gesi nchini Qatar na Saudi Arabia, baada ya Israeli kushambulia kituo kikubwa cha gesi nchini…
Katika muktada wa kukwamuwa mchakato wa amani mashariki mwa DRC ambao unaonekana kukwama, kufuatia kuendelea kushuhudiwa mapigano, Marekani iliwakaribisha wawakilishi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda mjini Washington…
Barcelona wanataka kumnunua tena Marcus Rashford kwa mkopo, Manchester United wanamnyatia Wilfred Ndidi, Dortmund kujaribu kumnunua tena Jadon Sancho.
Pakistan imetangaza kusitisha mapigano katika mzozo wake na Afghanistan leo Jumatano, Machi 18, wakati wote wa Sikukuu ya Eid al-Fitr, ambayo inaashiria mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.…
Mratibu wa Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, Bruno Lemarquis, amewasili Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, siku ya Jumanne, Machi 17, 2026. Mji huu uko chini…
Kufuatia uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wa kuivua timu ya taifa ya Senegal, Lions of Teranga, Ubingwa wa AFCON 2025 na kuipa ubingwa…
Starmer amesema Mlango Bahari wa Hormuz lazima ufunguliwe tena ili "kuhakikisha utulivu katika masoko".
"Hivi si vita vyetu, hatukuvianzisha"
Kihistoria, imekuwa rahisi kuanzisha vita kuliko kuvimaliza.
Cuba imekuwa kwenye ajenda ya Trump kwa muda mrefu. Rais huyo wa Marekani mara nyingi amekuwa akisema kwamba wataishughulikia Cuba baada ya kufanikisha malengo yao Iran.
Bw. Larijani, ambaye aliuawa usiku akiwa na umri wa miaka sitini na minane, pamoja na mwanawe, Morteza, na watu wengine kadhaa, alikuwa mwanasiasa mkongwe na ishara muhimu ya nguvu za…
Askari watatu wa Senegal wamefariki na wengine watatu wamejeruhiwa siku ya Jumanne asubuhi, Machi 17, katika ajali wakati wa operesheni za kuharibu mashamba ya bangi huko Casamance, karibu na mpaka…
Rais wa Cuba Miguel Diaz-Canel ameahidi siku ya Jumanne, Machi 17, “upinzani usioweza usioweza kusababisha madhara” dhidi ya vitisho vya Donald Trump vya kutaka kuchukua udhibiti nchi hiyo. Imechapishwa: 18/03/2026…
Chuo Kikuu cha California kimechapisha orodha ya kesi 25 za uvujaji mkubwa wa methane ulioonekana kutoka angani katika vituo vya mafuta na gesi mwaka jana. Haijulikani sana kama CO2, gesi…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema siku ya Jumanne kwamba Ufaransa haitashiriki katika “operesheni za kukomboa Lango la Hormuz katika muktadha wa sasa.” Hata hivyo, amebainisha kwamba “mara hali itakapokuwa…
Kadiri vita vinavyopanuka na kuhusisha nchi jirani za Ghuba, wachambuzi wengine wanabaini kuwa kuna rasilimali nyingine nyeti ambayo imekuwa ikilengwa: maji.
Katika siku ya kumi na nane ya vita vya Mashariki ya Kati, mashambulizi ya anga ya Israeli na Marekani yanaendelea kusakama miji mikuu ya Iran na Lebanon. Siku ya Jumanne…
Ingawa imejikita sana katika vita vya Iran, Marekani inataka kuanzisha tena mazungumzo kuhusu mgogoro kati ya Rwanda na DRC. Ili kuwarudisha kwenye meza ya mazungumzo viongozi wa nchi hizo mbili,…
Mkuu wa jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi "madhubuti" kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larijani katika shambulio la anga la Israel.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limefuta ushindi wa Senegal kama mabingwa wa taji la AFCON waliloshinda mwezi Januari, na kukabidhi ubingwa wa wapinzani wao Morroco ambao sasa ni mabingwa…