#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025
#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
#HABARI: Mvuvi anayefanya shuguli za uvuvi katika Ziwa Singidani Manispaa ya Singida, ayetambulika kwa jina la Ally Mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 25, anadaiwa kufa maji katika ziwa hilo, kufuatia…
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu, amewataka wadau wanaoendesha Vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, Makao ya Watoto na Nyumba…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA: AGOSTI 29, 2025 – MAUZO YA DHAHABU KWA WACHIMBAJI WADOGO YAONGEZEKA
#HABARI: Siku tatu mara baada ya Kituo cha ITV, kuripoti mgogoro wa ardhi eneo la Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, ‎Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo,…
#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha…
#HABARI: Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa…
#HABARI: Wananchi wa Kijiji cha Galapo, Kata ya Galapo, wilayani Babati, mkoani Manyara, wamelalamikia kutosomewa mapato na matumizi ya kijiji hicho kwa miaka 5, huku wakidai kuendelea kushinikizwa kuchangia miradi…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Jumapili, ambapo…
#HABARI: Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imejipanga kushughulikia changamoto ya maji katika Mkoa wa…