#HABARI: Mvuvi anayefanya shuguli za uvuvi katika Ziwa Singidani Manispaa ya Singida, ayetambulika kwa jina la Ally Mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 25, anadaiwa kufa maji katika ziwa hilo, kufuatia kuzama siku ya Alhamisi tarehe 28 Agosti 2025 wakati akifanya shuguli za uvuvi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
