#HABARI: Wananchi wa Kijiji cha Galapo, Kata ya Galapo, wilayani Babati, mkoani Manyara, wamelalamikia kutosomewa mapato na matumizi ya kijiji hicho kwa miaka 5, huku wakidai kuendelea kushinikizwa kuchangia miradi ya maendeleo na kuiomba serikali iingilie kati ili kuwe na uwazi pamoja na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za serikali.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025
