DRC: Rais Félix Tshisekedi azindua mradi wa upanuzi wa mji mkuu
Mamlaka nchini DRC zina mipango kabambe ya upanuzi wa mji mkuu, Kinshasa. Jiji hili kubwa lenye wakazi karibu milioni 20 kwa sasa linachukua takriban 40% ya eneo lake lililotengwa rasmi,…