Kenya na Misri kushirikiana katika miradi ya maji na biashara
Kenya na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao katika miradi ya maendeleo na miundombinu ya maji, ikiwemo ujenzi wa mabwawa, katika juhudi za kukabiliana na athari za ukame unaoendelea kuathiri mamilioni…