Vita Sudan: Maelfu walazimika kuhama kufuatia vurugu za hivi karibuni za Kusini Kordofan
Kwa sasa kuna dalili za kuongezeka kwa idadi ya watu wanaokimbilia maeneo mengine kutokana na kuongezeka kwa hali ya usalama katika mji wa Kadugli.
Kwa sasa kuna dalili za kuongezeka kwa idadi ya watu wanaokimbilia maeneo mengine kutokana na kuongezeka kwa hali ya usalama katika mji wa Kadugli.
Kocha wa Morocco Walid Regragui amekanusha minong'ono kuwa timu yake inanufaika kutokana na upendeleo kutoka kwa waamuzi kama mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika.
Usafirishaji wa misaada ya kibinadamu unajumuisha chakula, vifaa vya matumizi ya kibinafsi, na vifaa vya matibabu na malazi kwa watu wa Sudan waliohamishwa na migogoro inayoendelea.
Uturuki imesisitiza "uungaji mkono wake mkubwa" kwa Somalia na pia kusisitiza kukataa kwake kutambua kwa Israel eneo la Somaliland.
Maafisa wakuu wa kijeshi wanaripotiwa kupinga mpango wa rais, kulingana na ripoti hiyo.
Salah wa Misri na Osimhen wa Nigeria walizisaidia timu zao kutinga nusu fainali.
Beijing inasema "inapinga nguvu yoyote ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania" na inasisitiza uungaji mkono wake kwa "uhuru na usalama wa taifa".
Januari 10 inaashiria kuanzishwa kwa kwa sheria ya 1961 ya kuboresha haki za waandishi wa habari huko Uturuki, ikiwa ni pamoja na usalama wa kazi na mishahara ya haki.
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bishoftu utakuwa na nafasi ya kuegesha ndege 270 na uwezo wa kubeba abiria milioni 110 kwa mwaka, Waziri Mkuu Abiy Ahmed Ali alisema.
Ripoti mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Madini na Uchumi wa Bluu, inasema nchi inatathmini jinsi ardhi iliyotumika hapo awali kuchimba madini inavyoweza kurekebishwa na kutumika tena kwa manufaa ya kijamii,…
Trump anawakutanisha viongozi kutoka kampuni kuu za mafuta, akiwahakikishia usalama wao wakifanya kazi katika nchi tajiri ya mafuta Amerika Kusini.
Taarifa ya pamoja inasema ziara hiyo inakiuka sheria za kimataifa, inadhoofisha uadilifu wa ardhi ya Somalia, na hatari inayochochea ukosefu wa utulivu wa kikanda.
Morocco sasa wamefuzu kwa nusu fainali kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miongo miwili.
Mchezo wa pili wa Robo fainali ya AFCON 2025 uliozikutanisha timu za Cameroon na Morocco uliishia kwa ushindi wa Morocco na kutinga nusu fainali ikiibamiza Cameroon bao 2-0.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesisitiza umuhimu wa utulivu nchini Syria, na kutoa wito wa kuendeleza vita dhidi ya ugaidi.
Jeshi la Sudan linasema operesheni ya angani na ardhini imeharibu mamia ya magari katika kipindi cha wiki moja iliopita
Nuh Yilmaz alieleza umuhimu wa kujiondoa kwa kundi la kigaidi la YPG/SDF kwa ajili ya amani na utulivu
Jumuiya ya kikanda imetoa wito kwa wanachama kuchukua hatua ili kuepusha mapigano kuzidi huku mkutano ukianza kujadili ‘hali mbaya kwa watu na hatari ya usalama kwa mataifa jirani’
Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda kukawa na mashambulizi zaidi ya kijeshi ya Marekani nchini Nigeria iwapo Wakristo wataendelea kuuawa nchini humo, licha ya Nigeria kukana mara kwa mara…
Marekani inasema kusitishwa mapigano kwa muda Aleppo kunatengeneza mazingira mazuri baada ya vita vilivyowaua raia wengi, huku juhudi zikiendelea kuzuia mapigano kuanza tena.
Gavana Nassir amesema muguka ni “tishio kubwa kwa afya ya vijana” na haina manufaa yoyote ya kitabibu, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda afya ya umma ndani ya Kaunti ya…
Wizara ya Ulinzi ya Syria imetangaza kusitishwa kwa mapigano katika vitongoji kadhaa vya kaskazini mwa mji wa Aleppo, ikisema kuwa hatua hiyo inalenga kumaliza hali ya kijeshi katika maeneo hayo.
Mabadiliko hayo ambayo yamefanyika ndani ya siku 54 tangu kutangazwa kwa Baraza la Kwanza la Mawaziri wa kipindi cha pili cha serikali ya Awamu ya Sita.
Katika maeneo maalum kama Fan Zone na maeneo ya mikusanyiko ya mashabiki, wasanii wanapata nafasi ya kuonyesha kazi zao kwa hadhira pana ya kimataifa.
'Natumai kuwa ile kazi inayofanywa kwa dhati kwa ajili ya watu wa Palestina itakuwa na tija na matokeo mazuri ya kudumu ambayo yatamaliza madhila yao,' anasema Emine Erdogan
Mwaka 2025, Libya ilizalisha wastani wa juu zaidi wa mafuta ghafi katika zaidi ya muongo mmoja, na kufikia takriban mapipa milioni 1.37 kwa siku.
Waaandamanaji walitoa kauli dhidi ya Marekani nje ya ubalozi wao mjini Pretoria
Somalia inaunga mkono wito wa Saudi Arabia wa kutaka majadiliano mjini Riyadh kama ‘mchakato sahihi wa kisiasa’ wa kutatua matatizo nchini Yemen, inasema idara ya Uhamiaji ya Somalia
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema nchi hiyo sasa ni mshindani halisi wa michuano ya AFCON baada ya Taifa Stars kufuzu hatua ya 16…
Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa iwapo atapata ridhaa wa wananchi ya kuliongoza taifa hilo, basi atapitia upya mikataba ya mafuta ya nchi hiyo.
Picha zilizotolewa na shirika la habari la hifadhi ya nchi hiyo zilimuonesha sokwe huyo aliyepewa jina la Mafuko mwenye umri wa miaka 22 akiwa amewakumbatia watoto wake.
Serikali ya Trump imeishutumu serikali ya Somalia kwa kuharibu ghala la shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na misaada ya chakula iliyofadhiliwa na Marekani.
Mshambuliaji wa Algeria, Mohamed Amoura, ameomba radhi kufuatia ishara tata aliyoifanya wakati wa kusherehekea ushindi wa timu yake dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Kombe la Mataifa ya…
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.
Hakan Fidan ameeleza kuwa Uturuki "itachukua jukumu la kuimarisha ulinzi wa eneo la baharini pale amani itakapopatikana".
Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.
Wataalamu wanaonya kuwa hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela inaweza kufungua njia ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine ambayo yamewahi kuwa katika mvutano na utawala wa…
China imelaani kitendo cha Marekani kumteka nyara rais wa Venezuela kama ukiukaji wa uhuru na sheria za kimataifa. Wachambuzi wanasema kuwa hatua hiyo inaakisi juhudi pana za Marekani za kutaka…
Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani.
Rais Donald Trump alimueleze mtangazaji wa kipindi cha MS NOW, Joe Scarborough, kwamba Marekani inapanga “kuchukua mafuta,” kufuatia mashambulizi yaliyofanyika nchini Venezuela na kukamatwa kwa Nicolás Maduro.
Marekani imeongeza mara tatu idadi ya nchi zinazotakiwa raia wake kulipa dhamana ya hadi $15,000 ili kutuma maombi ya visa.
Siku ya Jumanne jeshi la Benin limesema limewaua "magaidi" 45 katika kipindi cha miezi mitatu ya operesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa Benin.
Mataifa ya Afrika yametoa wito wa kuheshimiwa kwa sheria ya kimataifa kufuatia kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro, Cilia Flores na Marekani
Ziara ya Gideon Saar Somaliland ni ‘uingiliaji usio wa msingi’ katika masuala ya ndani ya mwanachama huru wa Umoja wa Mataifa, inasema Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia
Rais wa Uturuki ameeleza msimamo wa Uturuki kuwaunga mkono "watu wa Venezuela marafiki katika kupambania mafanikio, amani, na ustawi."
Mamlaka za serikali kuu zinaongeza uwepo wao katika jimbo la Minnesota huku utekelezaji wa sheria za uhamiaji ukiendelea, kufuatia madai yaliyoenea mtandaoni kuhusu udanganyifu katika vituo vya kulea watoto vinavyosimamiwa…
Wafanyakazi wa NGO walishtakiwa pamoja na wafanyakazi 17 wa manispaa.
Mhubiri David Owuor amezua mjadala mkali kufuatia madai yake ya kuwa na uwezo wa kutibu maradhi kama ukimwi na saratani na kutabiri majanga makubwa
Viwanja vya ndege vya Cairo, Hurghada, Sharm El-Sheikh, na Marsa Alam, vilipokea idadi kubwa ya wageni.