Misri si miongoni mwa timu zinazotarajiwa kushinda AFCON, anasema Salah
Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah amesema timu yake haipo miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu kushinda Kombe la AFCON, lakini amesisitiza kuwa watapambana kwa nguvu zote ili kufika hatua za juu…