Waendesha mashtaka Uturuki kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya ndege ya Libya Ankara
Uturuki pia itaangazia hali ya rubani, ubora wa kiufundi, rekodi za ndege, ikiwemo vipuri.
Uturuki pia itaangazia hali ya rubani, ubora wa kiufundi, rekodi za ndege, ikiwemo vipuri.
Papa Leo XIV alitoa mfano wa moja kwa moja kuhusu simulizi za Krimasi na familia za watu wa Palestina zinazoishi kwenye mahema huku kukiwa na vita na wengine kuondoka katika…
Hatua ya kihistoria ya Somalia kuelekea mfumo wa kura ya moja kwa moja inategemea iwapo uchaguzi huu wa kihistoria utaweza kuimarisha demokrasia bila kuvunja makubaliano yanayohitajika ili kuilinda.
Wanaiweka katika ratiba (AFCON) wakati mbaya, lakini kusema kuwa siyo mashindano yanayostahili au makubwa haikubaliki, anasema mshambuliaji wa Nigeria Samuel Chukwueze.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani alitumia fursa hiyo kukemea ubatili.
Libya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya makamanda wake wakuu wa jeshi katika ajali ya ndege iliokuwa inasafiri kutoka mji mkuu wa Uturuki, Ankara siku ya…
Mlipuko ulitokea msikitini wakati wa sala ya jioni Jumatano katika eneo la Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno nchini Nigeria, kwa mujibu wa shahidi aliyeongea na Reuters.
Baadhi ya raia wa Kenya walilalamika siku ya Jumatano baada ya tembo waliokuwa wakiranda randa kuwaua watu wanne katika kipindi cha wiki moja kwa kile wataalamu wanaeleza mzozo kati ya…
Wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) wanadai kuchukuwa udhibiti wa maeneo mawili katika jimbo la magharibi mwa Sudan la Darfur Kaskazini.
Yasar Guler, Mkuu wa Majeshi Bayraktaroglu walitoa salamu zao za rambirambi kwa maafisa wa Libya na familia zao baada ya ajali ya ndege
Recep Tayyip Erdogan ametoa salamu zake za rambirambi kwa Abdul Hamid Dbeibah katika mazungumzo kwa njia ya simu baada ya ajali ya ndege jijini Ankara iliyosababisha kifo cha mkuu wa…
Ubalozi wa Uturuki nchini Libya umehuzunishwa na kifo cha Mkuu wa Jeshi wa nchi hiyo, Mohammed al-Haddad, ambaye alifariki katika ajali ya ndege pamoja na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi,…
Waziri wa mambo ya ndani wa Uturuki alisema kituo cha mawasiliano ya uchunguzi kimeanzishwa katika eneo hilo ili kuratibu shughuli
Mchakato wa kuchunguza na kutathmini vifaa hivi umeanza, amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Ali Yerlikaya.
Khalifa Haftar ameonyesha “huzuni kubwa” baada ya Mkuu wa Jeshi wa Libya, Mohammed al-Haddad, pamoja na maafisa wanne wakuu wa kijeshi, kufariki dunia katika ajali ya ndege karibu na Ankara.
Wataalamu wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wanasema Uchaguzi Mkuu wa 2027 utakuwa kipimo muhimu kwa Rais William Ruto ambapo kwa mara ya kwanza tangu 2002 Raila Odinga hatakuwa katika…
Mnadhimu mkuu wa jeshi nchini Libya Mohammed al-Haddad na maafisa wanne wakuu wamefariki katika ajali kusini mwa Ankara, ofisi za Kituruki zinasema.
Kocha wa Tanzania Miguel Ángel Gamondi anashikilia kuwa walicheza bora kuliko wengi walivyotarajia na ameridhishwa na matokeo.
Ubelgiji imeungana na Afrika Kusini katika kesi iliyofikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ambayo inaishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
DRC imerejelea mauzo ya cobalt baada ya kusitishwa kwa miezi 10 iliyokusudiwa kupunguza kushuka kwa bei kutokana na kuongezeka kwa bidhaa duniani.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Jumanne lilipitisha hatua ya kuongeza mamlaka kwa kikosi kinachoongozwa na Umoja wa Afrika nchini Somalia hadi 2026.
Mamlaka za nchini Uturuki zimesema kuwa mawasiliano yalipotea na ndege binafsi aina ya Falcon 50 iliyokuwa njiani kuelekea mjini Tripoli baada ya kutoa taarifa ya dharura karibu na katikati mwa…
Shirika la Misaada la Ushirikiano na Uratibu la Uturuki (TİKA) limetoa mchango muhimu katika maendeleo ya jamii nchini Msumbiji unaolenga kusaidia wanawake, walionusurika vurugu.
Televisheni hiyo ya AES imeelezwa katika mawasiliano rasmi kuwa chombo cha kukabiliana na upotoshaji wa taarifa na kuimarisha yanayojiri katika kanda hiyo.
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’ inashuka dimbani Disemba 23, 2025 kumenyana na ‘Super Eagles’ ya Nigeria kwenye michuano ya AFCON 2025, ikiwa na rekodi…
Balozi wa Umoja wa Mataifa wa Uturuki, Ahmet Yildiz, anasema kwamba Sudan imekuwa janga kubwa zaidi la uhamishaji duniani, akiongeza kwamba "uthibitisho na mazungumzo" pekee ndio yanaweza kuleta suluhisho.
Marekani imekuwa ikifanya safari za kukusanya taarifa za kijasusi katika maeneo makubwa ya Nigeria tangu mwishoni mwa Novemba, kulingana na data ya ufuatiliaji wa ndege na maafisa wa sasa na…
Washindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 watapata zawadi ya pesa taslimu dola milioni 10, huku mshindi wa fainali atatwaa dola milioni 4, Shirikisho la Soka Afrika (CAF)…
Mshukiwa huyo anatuhumiwa kuwa na jukumu muhimu katika kuwezesha uhamisho wa wanachama wa Daesh kutoka Uturuki hadi eneo la Afghanistan-Pakistan, kulingana na vyanzo vya usalama.
Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) ilisema Jumatatu inatoa motisha ya muda, iliyoongezwa ili kuhimiza uhamishaji wa hiari kabla ya mwisho wa mwaka, na kuongeza mara tatu posho…
Lyle Foster aliipatia Afrika Kusini mwanzo wa ushindi kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kuchapa 2-1 dhidi ya Angola siku ya Jumatatu.
Utawala wa Trump umewafuta kazi karibu mabalozi 30 na wanadiplomasia wengine wakuu wa taaluma ili kuhakikisha balozi zinaonyesha vipaumbele vyake vya "Amerika Kwanza".
Somalia, Uturuki waimarisha uhusiano katika sekta ya uvuvi kwa kutia saini makubaliano mapya
Mapigano yaliibuka siku ya Jumatatu karibu na mji wa Uvira katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya waasi wa M23 na wapiganaji wanaounga mkono serikali, siku chache baada ya…
Serikali ya Kenya imewarejesha nyumbani Wakenya 119 waliokuwa wamehadaiwa kwa ahadi za uongo za kazi katika baadhi ya nchi za Asia ya Kusini-Mashariki.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan anasema ushirikiano wa vikosi vya Syrian Democratic Forces na Israel unasababisha kikwazo kikubwa katika mazungumzo na Syria
Jenerali mwandamizi wa jeshi la Urusi ameuawa katika shambulio la bomu la gari jijini Moscow, huku wachunguzi wakifuatilia nadharia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kuhusika kwa idara za…
Ushirikiano kati ya Uturuki na mataifa ya Afrika umeimarika sana katika miaka ya hivi karibuni, katika sekta mbalimbali ikiwemo ulinzi.
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Katika Afrika Magharibi na Kati, maendeleo ya hivi majuzi ya kisiasa yameibua wasiwasi kuhusu utaratibu wa kikatiba na kanuni za kidemokrasia. ECOWAS imetangaza hali ya hatari ya kikanda ili kukabiliana…
Mamlaka ya Nigeria imefanikiwa kuokoa watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mnamo Novemba 2025, msemaji wa rais alisema Jumapili, baada ya 100…
Somalia itapeleka zaidi ya maafisa 10,000 wa usalama katika mji mkuu, Mogadishu, kabla ya uchaguzi wa mitaa wiki ijayo - uchaguzi wa kwanza wa moja kwa moja katika karibu miaka…
Zaidi ya wapiganaji 200 wenye silaha wamejisalimisha kwa vikosi vya serikali ya Ethiopia katika eneo la Oromia Magharibi, jeshi la nchi hiyo lilisema Jumapili.
Wenyeji Morocco walishinda Comoro 2-0 katika mechi yao ya ufunguzi ya AFCON 2025 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah katika mji mkuu Rabat Jumapili.
Shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye soko lenye shughuli nyingi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan liliua watu 10 mwishoni mwa juma, maafisa wa uokoaji walisema, bila kutaja…
Mapema wiki hii, Musk alikua mtu wa kwanza kuvuka thamani ya dola bilioni 600 baada ya ripoti kwamba SpaceX inaweza kuanza kuuzwa kwa umma.
Trump alikuwa amesema kuwa Marekani iko tayari kuchukua hatua za kijeshi nchini Nigeria kukabiliana na "mauaji ya Wakristo".
Erdogan anasema ulinzi na usafirishaji wa anga wa Uturuki ulifikia $7.45B katika muda wa miezi 11, huku nchi ikishika nafasi ya 11 duniani kwa mauzo ya ulinzi.