Viongozi wa Somalia na Ethiopia wajadili uhusiano katika maadhimisho ya Azimio la Ankara
Azimio la Ankara, lililotiwa saini mwezi Disemba 2024, lilipongezwa na viongozi wa dunia kwa kutuliza hofu ya mzozo mkubwa wa kikanda katika Pembe ya Afrika.
Azimio la Ankara, lililotiwa saini mwezi Disemba 2024, lilipongezwa na viongozi wa dunia kwa kutuliza hofu ya mzozo mkubwa wa kikanda katika Pembe ya Afrika.
Rasimu ya sheria inalenga kuainisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini Algeria kati ya 1830 na 1962 kama uhalifu.
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) alisema mabadiliko hayo ni sehemu ya marekebisho muhimu ili kupatana vyema na michuano hiyo katika kalenda ya kimataifa iliyojaa.
Mabalozi wa Uturuki barani Afrika walikusanyika mjini Ankara kwa ajili ya Kongamano la Mabalozi, na kutembelea Jumba la Sanaa za Mikono na Utamaduni la Kiafrika, ambalo lilianzishwa chini ya uangalizi…
Meli iliyobeba mahema 10,000 ya kwanza kati ya 30,000 yaliyotolewa kwa Sudan na Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa na Dharura ya Uturuki (AFAD) kwa ushirikiano na Shirika la Kimataifa la…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimiol akuongezea ujumbe wa kulinda amani nchini DRC MONUSCO mwaka mmoja zaidi
Maafisa wa Zambia wanatarajia kutatua tatizo hilo kwa kubadilisha cheo cha kocha mkuu na kuwa kocha msaidizi anapokidhi masharti ya kustahiki nafasi hiyo.
AU imethibitisha tena msaada wake kwa umoja na utawala wa Sudan wakati ikiwaonya RSF kwamba vurugu dhidi ya wananchi hazitapita bila adhabu.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema "lengo la haraka ni kusitisha mapigano" katika mzozo wa Sudan
Duru za kimatibabu zinasema kuwa silaha za Israel zashambulia makazi ya shule mashariki mwa Jiji la Gaza wakati wa sherehe ya harusi.
Hanna Tetteh ametoa wito 'kwa wadau wote kufanya kazi pamoja kwa lengo la kutekeleza masuala ya usalama, mabadiliko muhimu ili kupata uthabiti'
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa linaripoti kuwa vifo zaidi ya 1,800 kutokana na mashambulizi kwa sekta ya afya tangu 2023
Tukio hilo linajiri baada ya Uturuki kuidungua ndege isiyokuwa na rubani siku ya Jumatatu ambayo "ilipoteza muelekeo" wakati ikikaribia anga yake kutoka Bahari Nyeusi.
Shirika la Umoja wa Mataifa linasema raia wanakimbia wakiwa na hofu huku mapigano yakienea kote katika miji muhimu katika maeneo ya Kordofan ya Sudan
JAmii ya Turkana wanaunda sehemu ya makabila ya Nilotic na wanachukuliwa kuwa jamii ya tatu kwa ukubwa wa wafugaji nchini Kenya, baada ya Wakalenjin na Wajaluo, wakiwa wengi zaidi kuliko…
Shambulio la droni la RSF limeua walinda amani sita kutoka Bangladesh na wengine wanane kujeruhiwa, tarehe 13 Disemba.
Katika miezi ya hivi karibuni, vikundi vya wanamgambo vimekuwa vikilenga shule za bweni, wakiteka wanafunzi na wafanyakazi, wakati mwingine kwa ajili ya fidia, na kusababisha kukatizwa kwa masomo.
Wakala wa M23 waliovalia kiraia wameendelea kuwepo mjini Uvira, kama ilivyosemwa na vyanzo vya ndani na usalama, baada ya waasi hao kutangaza kuwa wameanza kujiondoa katika mji wa mashariki mwa…
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu uhamiaji limerekodi matukio 39 ambayo yamesababisha watu kuondoka kwenya makazi yao kutoka eneo la Kordofan tangu Oktoba 25
Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES), yanayojumuisha Mali, Burkina Faso na Niger, yameanzisha benki ya uwekezaji siku ya Jumatano kufadhili miradi mikubwa ya miundombinu na kiuchumi kote katika kanda.
Uturuki inasimama kikamilifu na watu wa Palestina na haitoteteleka katika jitihada zake kuona haki inapatikana, anasema rais wa Uturuki.
Udhibiti wa anga ya Uturuki unahakikishwa saa 24/7, wizara hiyo inasema baada ya ndege isiyokuwa na rubani kudunguliwa katika Bahari Nyeusi.
Kuwa mwenyeji wa mashindano kunawapa Morocco hamasa na nafasi nzuri, lakini pia kunaibua kumbukumbu za kushindwa kufanikiwa hapo awali na wamekuwa na hamu ya muda mrefu ya kupata ushindi.
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, anakosoa mapendekezo ya Umoja wa Ulaya ya kuchukua mali za Urusi zilizozuiliwa kwa ajili ya Ukraine, akidai kuwa hatua hiyo itaongeza migogoro na kupunguza…
Imekuwa ni jambo la kawaida kushuhudia mapacha na ndugu wa familia moja, kuchezea mataifa yao kwa pamoja, wakati wa michuano ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika, maarufu kama AFCON.
Takriban watu 12 wameuawa na wengine watatu kutekwa nyara wakati watu wenye silaha waliposhambulia eneo la uchimbaji madini katika kijiji cha Atoso katika jimbo la Plateau nchini Nigeria, kiongozi wa…
Mwanadiplomasia mkuu wa Uturuki anasema Uturuki imetatizwa sana katika wiki za hivi karibuni, kutokana na meli kulengwa na ndege zisizo na rubani kuingia katika eneo lake.
Wapiganaji nchini Sudan wa kundi la RSF wamekuwa wakifanya kwa makusudi maujai ya kikatili na kuharibu miili katika mji wa Al Fasher, ripoti mpya imebaini.
Makubaliano hayo yatatoa fursa kwa sekta ya uvuvi ya Uturuki kufikia bahari ya Somalia na una lengo la kutengeneza za ajira mpya kwa watu wa Somalia na kufanya taifa hilo…
Nchi ambazo hazina bandari kama Ethiopia na Uganda zinaongeza juhudi za kufikia bandari huku suala la uchumi likipewa kipaumbele na subira ya kidiplomasia ikififia.
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizoathiriwa na hatua mpya za serikali ya Marekani za kudhibiti uingiaji wa raia wa baadhi ya mataifa nchini humo.
Mwaliko huo unakuja wiki chache, baada ya serikali ya Marekani kusema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania.
Hukumu hiyo imetolewa Desemba 15, 2025, na Jaji Augustine Rwizile, ambapo amesema kuwa ushahidi uliowasilishwa mahakamani hapo umethibitisha pasi na kuacha shaka kuwa maafisa hao watatu walimuua Enos, kwa kumtuhumu…
Aliyekuwa mgombea urais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo alikamatwa siku ya Jumanne mjini Kinshasa, chama chake cha kisiasa kilitangaza, kikisema kuwa hakuna sababu zilizotolewa za kukamatwa kwake.
Jumla ya vyuo vikuu 54 vya Uturuki vimewekwa katika vyuo 500 vya viwango vya juu zaidi vya GreenMetric duniani, huku 97 wakiwa 1,000 bora.
Mamlaka za nchini Ureno zimemshtaki mke wa rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu madai ya utakatishaji fedha, polisi walisema siku ya Jumanne.
Watu wasiopungua 104 wameuawa, ikiwemo watoto 43, katika mashambulizi mbalimbali eneo la Kordofan nchini Sudan tangu Disemba 4, ofisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu ilisema siku ya…
Wamisri wasiopungua 14 wamefariki baada ya boti la wahamiaji kuzama karibu na bandari katika kisiwa cha Crete cha Ugiriki, Wizara ya Mambo ya Nje ilisema siku ya Jumanne.
Benin imewakamata watu takriban 30, wengi wao wanajeshi, kwa madai ya kuhusika na jaribio la mapinduzi lililotibuliwa mwezi huu, vyanzo vya kisheria vimeiambia AFP.
Jenerali Abdel Fattah al Burhan amepongeza "dhamira ya mazungumzo na juhudi za kutafuta na kumaliza vita nchini kwake" za Trump.
Mahakama ya Ufaransa imeiamuru klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kumlipa mshambuliaji Kylian Mbappé zaidi ya dola milioni 70 kutokana na mishahara na posho ambazo hakulipwa.
Mara ya kwanza kwa Tanzania kushiriki michuano ya AFCON ilikuwa ni mwaka 1980 nchini Nigeria, enzi za akina Jela Mtagwa, Leodgar Tenga, Peter Tino na wengine.
Kundi la M23 limetangaza kuwa litajiondoa katika mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatia ombi la serikali ya Marekani. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni hatua ya…
Waziri Mkuu wa Australia, Anthony Albanese, amesema taifa hilo halitagawanywa na vitendo vya kigaidi, huku maelezo zaidi yakijitokeza kuhusu moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika historia ya hivi karibuni ya…
Takriban watu 14 wamefariki dunia kutokana na dhoruba kali ya upepo na baridi Gaza.
Rais wa Marekani Donald Trump awasilisha kesi ya kukashifu akiishutumu BBC kwa kuhariri kimakosa hotuba ya 2021 kuhusu shambulio la bunge.
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliyokumba mji wa Safi ulioko pwani ya Morocco mwishoni mwa juma iliongezeka hadi 37, mamlaka za eneo zilisema Jumatatu.
Kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo Roger Lumbala alipatikana na hatia na mahakama ya Paris siku ya Jumatatu ya kuhusika katika uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa wakati wa Vita…
Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema kuwa droni lililogunduliwa karibu na Bahari Nyeusi lilidunguliwa katika eneo salama baada ya kushindwa kujibu hatua za kudhibiti.
Kundi la waasi la M23 linasema limewakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi wakati wa mashambulio ya hivi karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, madai ambayo Reuters hayakuweza kuthibitisha.