Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Dunia imealikwa kuhudhuria msiba wa Muhammad Ali, kwenye mji alikozaliwa siku ya Ijumaa ambako maisha ya nguli huyu wa masumbwi yatasherehekewa huku uma ukipewa nafasi ya kushiriki mazishi na ibada…
Dunia imealikwa kuhudhuria msiba wa Muhammad Ali, kwenye mji alikozaliwa siku ya Ijumaa ambako maisha ya nguli huyu wa masumbwi yatasherehekewa huku uma ukipewa nafasi ya kushiriki mazishi na ibada…
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na vikosi vya Serikali kwenye mji wa Aleppo hii leo, yameua watu wanaokadiriwa kufikia 16, limesema shirika moja la waangalizi wa haki za binadamu. Imechapishwa: 05/06/2016…
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kenya, Josephu Boinett, ametoa onyo kali kwa viongozi wa muungano wa upinzani wa Cord dhidi ya maandamano yao waliyoapanga kuyafanya siku ya Jumatatu, June…
Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International, Jumatatu ya wiki ijayo, June 6 itazindua rasmi muonekano mpya wa tovuti yake ya kiswahili, ambao sasa wasikilizaji wataweza kupata vitu vingi na…