Chalamila ataka wadau wafunze vijana umuhimu wa amani
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wadau na jamii kuendelea kutoa elimu kwa vijana hasa walio kwenye makundi ya waendesha pikipiki (bodaboda) na bajaji juu ya…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wadau na jamii kuendelea kutoa elimu kwa vijana hasa walio kwenye makundi ya waendesha pikipiki (bodaboda) na bajaji juu ya…
Na Mwandishi Maalumu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa vyuo ambapo wanafunzi…
JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini. Pia, limesema linaendelea na msako mkali…
RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye amani na umoja na kuendelea kuwa mfano wa utulivu katika Afrika na dunia…
KATIKA kukabiliana na kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa za chakula uliojitokeza nchini, Shirika la Bandari la Zanzibar (ZPC) limetangaza kupunguza kwa asilimia 80 ya tozo kwa bidhaa zote za…
NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, akichukua nafasi ya Mtanzania Hemed Suleiman ‘Morocco’. TFF na…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika kikao maalumu Da es Salaam. RC Chalamila ameongoza mjadala wa…
MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya kuvutia, wanyamapori, na urithi wa utamaduni wa kipekee. Tukio…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. The post Rais Mwinyi amuapisha…
BAADHI ya wakuu wa mikoa wamebainisha mikakati ya kuhakikisha maeneo yao na wananchi yanaendelea kuwa na amani na kuendelea kufanya shughuli zao za kijamii na kiuchumi kama kawaida. Mkuu wa…
MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan imechukua hatua za kurejesha utengamano katika nchi na kuhakikisha wananchi wanaishi katika utawala wa…
DODOMA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalum 115 kati ya idadi ya Wabunge 116 wanaopaswa kuteuliwa, kufuatia masharti ya Ibara ya 66…
KIUNGO mshambuliaji wa miamba ya soka, Manchester United, Bryan Mbeumo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Kuu England (EPL) kwa mwezi Oktoba. Sambamba na Mbeumo, kocha wa mashetani…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza wananchi kuendeleza utamaduni wa kuiombea nchi amani, ili mipango na miradi ya maendeleo iweze kutekelezwa kwa…
ARUSHA: Mashindano ya Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 13 yanatarajiwa kuendelea kesho Novemba 8 kwa michezo minne itakayochezwa katika viwanja vya Shule ya Kimataifa Kennedy House, Usa…
DAR ES SALAAM; MFANYABIASHARA Jeniffer Jovin, maarufu ‘Niffer’(26)na wenzake 21wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakibabiliwa na makosa matatu yakiwemo ya uhaini. Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni…
Meaning of “Kibao cha Chapati” Swahili phrase:Kibao cha chapati,English translation:Chapati board or rolling board Explanation:“Kibao cha chapati” is a wooden board used in the kitchen when preparing chapati (a type…
MRADI wa Shule Bora upo hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa darasa jipya katika Shule ya Msingi Birikani, Halmashauri ya Mji Handeni, hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji…
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mbinga umepokea jumla ya shilingi milioni 403.7 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kurejesha mawasiliano ya barabara zilizoharibiwa na mvua…
ZANZIBAR : SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zuberi Ali Maulid, amewaapisha wajumbe wateule wa Baraza hilo leo, kufuatia uteuzi uliofanywa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
TANZANIA ni nchi iliyobarikiwa kuwa na aina nyingi za vivutio vya utalii vikiwamo vya wanyamapori kama swala wa aina mbalimbali wanaopatikana katika mapori ya akiba na hifadhi nyingi za taifa.…
Rais wa Marekani Donald Trump anaanza leo Jumamosi ziara yake barani Asia ambapo anatarajiwa kufanya mazungumzo ya kibiashara na mwenzake wa China Xi Jinping.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ameapa kuhakikisha kurejeshwa kwa miili ya mateka wote wa Israel ambayo bado inazuiliwa huko Gaza.
Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Katherina Reiche alilazimika kujificha kwenye handaki wakati wa mashambulizi ya usiku kucha ya Urusi katika mji mkuu wa Ukraine, Kiev.
Viongozi wawili wa upinzani nchini Cameroon Anicet Ekane na Djeukam Tchameni wamekamatwa jana mjini Douala huku maandamano yakilighubika taifa hilo juu ya matokeo ya uchaguzi wa rais .
Matumbawe yanasaidia msururu mkubwa wa viumbe vya baharini na yana jukumu muhimu katika kudumisha bayoanuwai ya baharini.
Wagombea ni pamoja na Rais aliyepo madarakani Alassane Ouattara na wagombea wengine wanne wa upinzani uliodhoofishwa kutokana na kuenguliwa kwa wagombea wakuu.
Sirikit, mama yake Mfalme wa Thailand Vajiralongkorn, alifariki katika hospitali saa tatu na dakika ishirini na moja usiku wa Ijumaa baada ya kuwa na matatizo katika mfumo wa damu.
Jeshi la Marekani, limeanza kutuma droni Gaza kufuatilia uzingatiaji wa makubaliano ya amani kati ya Israel na kundi la Hamas. Haya ni kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari…
Jiji la kibiashara la Dar es Salaam nchini Tanzania linafahamika kama kitovu cha biashara nchini humo. Mbali na biashara mbalimbali zinazofanyika lakini bandari kuu ya nchi hiyo pia iko jijini…
Jeshi la Ukraine limesema leo Jumamosi kuwa limekikomboa tena kijiji cha Torske, ambacho ni muhimu kwa ulinzi wa mji wa Lyman.
Raia nchini Ivory Coast leo Jumamosi wanapiga kura katika uchaguzi wa rais huku rais wa sasa Alassane Ouattara mwenye umri wa miaka 83, akiwania muhula wa nne, hatua itakayopanua utawala…
Mkataba wa kihistoria wa UN kuhusu uhalifu wa mtandao unaolenga kukabiliana na makosa yanayogharimu uchumi wa dunia, trilioni za dola kila mwaka, unatarajiwa kusainiwa wikendi hii nchini Vietnam, na takriban…
Serikali ya Marekani imesema inataka kumhamishia nchini Liberia raia wa Salvador Kilmar Abrego Garcia kufikia mwishoni mwa mwezi huu. Hatua hizo imekuja katikati mwa mzozo kuhusu mpango wa uhamiaji wa…
Kuna wapiga kura zaidi ya milioni nane waliosajiliwa na wagombea uraisa watano.
Trump aelekea Asia kwa mazungumzo na Xi Jinping na pia kulenga kukutana na Kim++++Rubio aahidi kurejeshwa miili ya mateka wote nchini Israel++++Waziri wa Ujerumani ajificha kwenye handaki wakati wa mashambulizi…
Marekani yadaiwa kutuma droni kufuatilia hali katika Ukanda wa Gaza++++Jeshi la Ukraine ladai kukikomboa kijiji cha kimkakati cha Torske+++Raia nchini Ivory Coast wapiga kura ya kumchagua rais mpya ++++Mkataba wa…
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amezungumzia kuhusu kujengwa upya kwa Gaza na viongozi wa Ghuba, akisema kuwa Kuwait, Qatar, na Oman wameonyesha dhamira thabiti ya kusaidia juhudi hizo .
“Kwa zaidi ya mwezi mmoja, hali ya kibinadamu mjini El-Fasher imezidi kuwa mbaya sana,” Kundi la Madaktari la Sudan limesema katika taarifa.
Mabadiliko hayo ni ya "kuimarisha usalama wa taifa", kulingana na msemaji wa Rais, na pia yanakuja siku chache baada ya kukana madai ya njama ya mapinduzi.
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza Oktoba 29 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa, ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu ujao.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema leo kuwa huduma za matibabu bado hazijarejea kikamilifu kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza, takriban wiki mbili tangu kuanza kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Watu wanne wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa baada ya mwanamume mmoja kulipua kifaa cha mlipuko ndani ya treni nchini Ukraine.
Waziri wa Muungano wa Korea Kusini, Chung Dong-young, ametoa wito kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, katika ziara yake ijayo barani…
Wagombea urais nchini Ivory Coast jana walihitimisha kampeni zao kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Jumamosi.
Jeshi la Nigeria limesema Alhamisi kuwa limewaua waasi 50 waliokuwa na silaha waliokuwa wakitumia droni kufanya mashambulizi mengi kwenye kambi za jeshi katika eneo tete la kaskazini mashariki.
Mgombea urais wa CUF, Gombo Samandito, yuko katika awamu ya mwisho ya kampeni Dar es Salaam. Amezungumza na wananchi wa Kivule, Ilala, na atakamilisha kampeni tarehe 28 Mbagala, Temeke. Gombo…
Waziri Mkuu mpya wa Japan, Sanae Takaichi, ameahidi kuongeza kasi ya ujenzi wa uwezo wa kijeshi na matumizi ya ulinzi, na kuimarisha uhusiano na Marekani.
Wagombea kwenye uchaguzi wa rais nchini Ivory Coast wamefanya mikutano ya mwisho ya kampeni wakati kampeni hizo zikihitimishwa rasmi jana Alhamisi katika taifa hilo la Magharibi mwa Afrika lenye watu…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko ziarani London Uingereza na kuzungumza na kurai zaidi ya wakuu 20 wa nchi za Ulaya katika vita vyake vya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya…